Mkuu, gaps ndio zinakufanya uwe dhaifu na kupigika kirahisi, kama tunakubaliana ndani ya Iran kuna pro-israeli na ndio wanawezesha high profile kuwa eliminated unafikiri unawezaje kuwa salama kijeshi maana hao hao informers ndio wanaweza hata kujua stock ya ammunition yako na namna inafanya production nk.
Vita yeyote inaanzia kwenye ujasusi, ukifeli kwenye ujasusi maana yake hata vitani unaweza kufail vibaya, ndio maana kuna wakati gharama za ujasusi zinaweza kuwa kubwa kuliko vita yenyewe maana ujasusi pia unaweza kuepusha vita kwa kuimaliza kabla haijaanza.