Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Ukishangaa ya Mussa utaona ya Farau. Wenyewe kutwa wnaalalamika wnatekwa lkn kifo cha Haniya wnaafurahia. Hii inathibitishwa hapa Jf Baada ya user wnaaosupport Chadema ndio hao hao leo wanafurahia.

cc

GENTAMYCINE

Bro una malaria 3.
Kumbe JF watu wamejiunga kwa kadi za chama na si Emails ?

#Tulizoea wachawi wazee sasa naona hata watoto wameridhishwa uchawi mapema.
 
uislam unatufunisha kuwapenda watu wa dini zote wale ambao hawaipigi vita uislam na sio dini fulani. sasa humu 99% wa ukiristo wanaupiga vita uislam
Wewe ni "kichwa maji kabisa" Umetoa aya ktk kitabu ikisema ndugu na rafiki wa mwislam ni muislam na adui wa muislam ni mkristo na muyahudi.

Ktk aya hiyo hakuna kipengele ulichoweka kinachosema mkristo au yahudi asiyepiga vita uislam awe rafiki yenu. Je haya ya kusema eti ilimradi mkristo au yahudi hapingi uislam umeipata wapi mbona kwenye nukuu yako ya aya haipo. Au ndo ufinyu wako wa kuchambua maandiko.
 
Ukishangaa ya Mussa utaona ya Farau. Wenyewe kutwa wnaalalamika wnatekwa lkn kifo cha Haniya wnaafurahia. Hii inathibitishwa hapa Jf Baada ya user wnaaosupport Chadema ndio hao hao leo wanafurahia.

cc

GENTAMYCINE

Kuna tamko rasmi la chama, ama wewe ndio umeamua kuweka hisia zako hapa?
 
Mtu anauliwa akiwa iran tena mji mkuu! You just imagine! Israel ni hatari wazee.

Sio Mji mkuu tu pia ni kiongoz wa juu mwandamiz kutoka tasisis rafiki na iran... maana yake yeye ni mgeni wa state .. yaani ni VVIP wa serikali ya Iran .. anakuwa 24 hrs analindwa na kuhudumiwa..
 
Wewe ni "kichwa maji kabisa" Umetoa aya ktk kitabu ikisema ndugu na rafiki wa mwislam ni muislam na adui wa muislam ni mkristo na muyahudi.

Ktk aya hiyo hakuna kipengele ulichoweka kinachosema mkristo au yahudi asiyepiga vita uislam awe rafiki yenu. Je haya ya kusema eti ilimradi mkristo au yahudi hapingi uislam umeipata wapi mbona kwenye nukuu yako ya aya haipo. Au ndo ufinyu wako wa kuchambua maandiko.
Katika Quran, kuna aya zinazohusiana na jinsi Waislamu wanavyopaswa kuwa na uhusiano na watu wa imani nyingine, ikiwa ni pamoja na Wakristo. Moja ya aya zinazozungumzia hili ni:

  1. Surah Al-Mumtahina (60:8):
    • Swahili: "Mwenyezi Mungu hakukatazi kuwaadhimia wale ambao hawakukupigeni vita kwa sababu ya dini yako na hawakukutoa katika nyumba zako, kuwaonyesha wema na kuwa sawa nao. Hakika Mwenyezi Mungu anapenda wanao kuwa sawa."
Aya hii inasisitiza kwamba Waislamu wanapaswa kuwa na uhusiano mzuri na watu ambao hawakupiga vita kwa sababu ya dini yao na ambao hawakuwatoa kutoka nyumbani mwao. Hii inaonyesha kuwa uhusiano wa amani na wema ni sehemu ya mafundisho ya Uislamu, hata kwa wale ambao wanaamini dini tofauti.
 
WAKIRISTO WANAAMINI WAKIUNGANA NA MAYAHUDI BASI UISLAM NDIO WATAUSHINDA
Hizo fikra zako za kishetani tu muda wote unawaza ujinga ujinga wa dini za watu weupe. Amini ulichoaminishwa anayeamini tofauti na wewe achana naye na huna haki ya kumhukumu kwa anachoamini kwani wote mumelishwa matango pori tu. Narudia tena huna haki ya kumhukumu anayeamini tofauti na unavyoamini wewe kwani wote mumeaminishwa jambo ambalo hamna uwezo wa kulithibitisha.
 
Mbona wanasema mtu ambeye si wa imani yao ni kafiri na hafai kuishi na ukimuua unapewa nanii 72? Ni uongo?
 
Hizo fikra zako za kishetani tu muda wote unawaza ujinga ujinga wa dini za watu weupe. Amini ulichoaminishwa anayeamini tofauti na wewe achana naye na huna haki ya kumhukumu kwa anachoamini kwani wote mumelishwa matango pori tu. Narudia tena huna haki ya kumhukumu anayeamini tofauti na unavyoamini wewe kwani wote mumeaminishwa jambo ambalo hamna uwezo wa kulithibitisha.
Hii ngumu kumeza
 
Sio Mji mkuu tu pia ni kiongoz wa juu mwandamiz kutoka tasisis rafiki na iran... maana yake yeye ni mgeni wa state .. yaani ni VVIP wa serikali ya Iran .. anakuwa 24 hrs analindwa na kuhudumiwa..
Ni zaidi ya udhalilishaji.
 
Sio Mji mkuu tu pia ni kiongoz wa juu mwandamiz kutoka tasisis rafiki na iran... maana yake yeye ni mgeni wa state .. yaani ni VVIP wa serikali ya Iran .. anakuwa 24 hrs analindwa na kuhudumiwa..
Watu wamefanya biashara pale 😀
 
Back
Top Bottom