Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Mbona mimi CHADEMA na simfahamu marehemu jamani??

Huyu mlevi nia yake ni kuwachokoza Wakristo ameitumia Chadema tu kupush agenda yake ya kueneza chuki kwa Ukristo kwa kibali cha moderators .
nani achukue ukiristo? niache kuupenda uislam dini ya peponi nianze kuwafatilia wakiristo? hizo ndio propaganda za wakiristo wengi humu Jf. Propganda za kizamani kabisa
 
Kafiri neno la Kiarabu maana aliemkanusha Allah na Mitume wake. sasa Nehemia wanatumia kiarabu?
Mkuu naona unaleta ubishi wa mambo usiyoyajua,neno kafiri limitumika sana kuanzia kwenyw Agano la Kale hadi Agano Jipya na maamdiko hayo yapo kabla ya Uislam kuja sasa unachobisha nini? Ndiyo maana kuna mtu amekusisitiza kuwa amini unachoamini au ulichoaninishwa wewe achana na imani za watu wengine kwani wewe siyo Mungu wa kuwakosoa kuwa wamepotoka kwa vile hawaamini unachoamini wewe. Huo ni uchokozi kwa imani za wengine. Mods please do the needful huu mjadala hauna afya hapa jukwaani.
 
UMEVAMIA MAADA ISIYOKUHUSU. kafiri ni yule asieamini Allah na Mtume wake, kama huamini hata Kakobe
kamuulize kama hatakwambia hivyo hivyo
 
Tutamwambia Msigwa afanye mahojiano ili mtulize akili kwanza
Msigwa ule ni moto wa mabua kafanya mikutano miwili tu kaishiwa hoja anarudia yale yale. Watu wameshaanza kushikana mashati kwa nini wamempa hela nyingi wakiamini angekuwa na la maana ku offer huko CCM kumbe ni yale yale yanayoimbwa na wote walionunuliwa siku za nyuma hata hela wamegoma kummalizia.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Allah wao na Mungu wetu. Wao wanasema wanampigania Allah wao na ndiyo maana wako tayari kujivisha mabomu kwa ajili ya kumtetea (mfano issue ya Salman Rushdie).

Kwa Wakristu wao wanasema Mungu wao atawapigania wakiwa na shida. Ndiyo maana hata utukane ukristo, uchane Biblia, ukashifu msalaba, tutakuangalia tu nankuendelea kula kitimoto.

Jagina

Mungu wa wakristo ni wa agano la kale au agano jipya ??
 
UMEVAMIA MAADA ISIYOKUHUSU. kafiri ni yule asieamini Allah na Mtume wake, kama huamini hata Kakobe
kamuulize kama hatakwambia hivyo hivyo
Kwani Kakobe ndiye mwandishi wa Biblia? Mimi nazungumzia kilichoandikwa kwenye Biblia kitabu kilichoandikwa karne kadhaa kabla Uislamu kuingia sasa unabisha na hilo? Mada iko hapa kujadiliwa na wote la sivyo ungeipeleka madras ukajadili na wenzako wa imani yako.
 
Kamuulize mchungaji wako aliesoma biblia hasa halafu muulize mkiwa peke yenu nani kafiri?
YUDA 1 : 4 Kwa maana kwa watu waliojiingiza kwa siri watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii,makafiri wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi,nao humkana yeye aliye peke yake Mola,na Bwana wetu Yesu Kristo.

Hii ndiyo tafsiri ya kafiri kwa imani ya Kikristo. Mtu yeyote anayemkana Yesu Kristo ni kafiri.
 
AYA HII INAWAHUSU WAISLAM. MBONA UNAKASIRIKA WEWE? KATIKA UISLAM UKIFA SHAHDI FAIDA YAKE NI KUBWA SANA KULIKO HATA UFALME WA DUNIA. KAFIRI KAMA WEWE UKIFA SISI WAISLAM TUNASIKITIKA TUNAKUONA JINSI UNAVYOENDA KUTESEKA BAADA YA KUFA
Mzee huyo Allah hayupo na hajawahi kuwepo, hao malaya 72 na mito ya pombe ni ndoto tuu za pedophile mudi, usije ukajidanganya ukapoteza uhai wako kwa ndoto za muarabu flani ambaye hujawahi hata kumuona.
 
Back
Top Bottom