Wa Agano la kale anasema mwenyewe maneno haya
GOD is not a flesh and blood man (Numbers 23:19).
Judith 8:16
Do not try to bind the purposes of the Lord our God; for
God is not like man, to be threatened,
nor like a human being, to be won over by pleading.
Yohana 5:37 , Yesu alisema kwamba hakuna mtu ambaye amewahi kumwona Mungu wakati wowote au kusikia sauti yake.
Biblia inasema kwamba:
1. Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu. (Kutoka 4:22).
2. Daudi ni mwana wa Mungu, yeye pia ni mwana wa kwanza. (Zaburi 89: 26-27).
3. ....maana mimi ni baba wa Israeli na Efraim (Ibrahim) ni mzaliwa wa kwanza wangu. (Yeremia 31:9).
Hawa wana wa Mungu wote, kila mmoja wao ni mzaliwa wa kwanza kwa Mungu. Kwanza itakuwaje watoto wote watatu wawe wazaliwa wa kwanza kwa Mungu.
Pili kwa nini hawa wazaliwa wa kwanza wasiitwe miungu?
Na kama hawa watatu wakubwa hawawezi kuwa miungu wala hawaabudiwi, basi mtoto mdogo Yesu pia hana haki yoyote ya kuitwa Mungu wala hana haki ya kuabudiwa.
4. Suleimani ni Mwana wa Mungu. (Mambo ya Nyakati 22:9-10).
5. Wapatanishao wameitwa Wana wa Mungu. (Mathayo 5:9). Oo! siyo tu bali katika Biblia baadhi ya watu wameitwa miungu.
Tena hakuna Mkristo ambaye anawaita miungu wala hawaabudiwi. Kama Biblia inavyosema kwamba:
A. Yesu akawajibu, Je! haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, mimi nimesema, ndinyi miungu? (Yohana 10:34).
B. Bwana akamwambia Musa angalia, nimekufanya wewe kuwa kama mungu kwa Farao na huyo ndugu yako Harun atakuwa Nabii wako. (Kutoka 7:1).