Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kumbumbuka
Mada ni;

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran​

Asante kwa kumkumbusha Jagina ametutoa kwenye mada ya Ismail Haniyeh amaetuletea mada anazotaka yeye.
 
kaka vip kwa hiyo unataka kusema.. kuna mwamba kaiona fursa ashavuta madolari kwa kuuza ramani ya location ya mwanba... dah ila hii dunia.. unaweza kuta mtu wake wa karibu tu kauza raman . halafu utakuta yuko mbele anaitangazia Israel fatwa.. kasimamisha mishipa ya shingo kumbe anajua alichofanya
Ayatollah ndiye ameuza ramani ya mchezi mzima, alianza kuuza ramani ya rais Raisi, halafu kumuuza huyu Mpalestina
 
Israeli MOSAD invisible Commandos bombed Ismail Residence in Tehran
 
Asante kwa kumkumbusha Jagina ametutoa kwenye mada ya Ismail Haniyeh amaetuletea mada anazotaka yeye.
Kumbumbuka
Mada ni;

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran​

Naona miwani yenu imeniona mimi tu , wenyewe hamjioni

Nyani haoni kundule

Tulieni mpate daawa mtoke kwenye box

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu.

Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu.

Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani.

Hayo ni maelezo ya mbinguni.

Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.
 
..huyo kiongozi wa Hamas kauwawa na serikali ya IRAN.

..siamini kama Israel anaweza kuingia mpaka Teheran na kuuwa mgeni wa serikali ya Iran.
Kwa hiyo unakubali waislamu ni wasaliti wa ndugu zao katika Imani ???
 
Music to my ear, hawa islams,na Arabs, dawa Yao ni jews tu, katunguliwa ndani ya Iran! Hii, itatuma ujumbe mzito, kwamba haya magaidi hayana pa kujificha
Duh ko unamchukia tu mtu kwasab ni muislam au mwarabu😳
 
Kwa hiyo unakubali waislamu ni wasaliti wa ndugu zao katika Imani ???
Hata watu wa dini nyengine ni hivyo hivyo na wasio dini pia, kusaliti ni katika moja ya Tabia mbaya za binadamu. Hata Yesu alisalitiwa na mwanafunzi wake
 
Hata watu wa dini nyengine ni hivyo hivyo na wasio dini pia, kusaliti ni katika moja ya Tabia mbaya za binadamu. Hata Yesu alisalitiwa na mwanafunzi wake
Usaliti wa MTU mmoja ni tofauti na serikali nzima kisaliti MTU ambaye wameahidi kumpa hifadhi salama

Ni vizuri hamasi wakawa wapole tu wakajisalimisha kwa Israel maana hata Iran hawawezi kuwalinda
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=12_YTNLq3NY

Walivyompata sloppy security checks, bomu limewekwa miezi miwili ndani ya nyumba walikuwa wanamsubiri tu.

Ila hatari sana ukisikiliza kwa makini alietega hilo bomb atakuwa afisa wa Iran National guard, ina maana Mossad wana watu mpaka ndani ya ulinzi wa Iran.

Unaanza kuhisi hata ajali ya chopper ya raisi ni Mossad.
 
Israel wana hasira na Iran kwasab Iran iliwaonesha dharau ikatuma drone mchana kweupee IDF wakajiharishia Lo Israel wanataka waoneshe mabavu ili kulinda reputation.
Sasa kama Gaza kamji kadogo vile hakana hata teknolojia wala jeshi la maana wameshindwa kukafuta wanatumia nguvu nyingiiii lakini ni miaka 75 sasa inakata kanchi ka watu bado kapo kanahemea mipira lakini hakakubali kufa sjui Iran vita watachkua mda gani. Naona huyo mungu wao alowaahidi hio ardhi sjui kawachokaaa🤣🤣🤣🤣75 years ndo nini sasa kwa jitihada hizo mungu si angeshawapea haki yao jaman wamejitutumua sana😂😂😂
 
Kwa hiyo unakubali waislamu ni wasaliti wa ndugu zao katika Imani ???

..huyu bwana aliyeuwawa inasemekana alikuwa ni MODERATE, hana msimamo mkali, na alikuwa akiongoza vikao vya " maridhiano. "

..pia kuna upande ambao ni MILITANT wao hawataki amani, wala maridhiano.

..sasa kifo cha huyu bwana kinaweza kuwa kimetokana na mazingira hayo ambapo wenzake hawakubaliani na mitizamo yake.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=12_YTNLq3NY

Walivyompata sloppy security checks, bomu limewekwa miezi miwili ndani ya nyumba walikuwa wanamsubiri tu.

Ila hatari sana ukisikiliza kwa makini alietega hilo bomb atakuwa afisa wa Iran National guard, ina maana Mossad wana watu mpaka ndani ya ulinzi wa Iran.

Unaanza kuhisi hata ajali ya chopper ya raisi ni Mossad.

Tumuamini Nani ? Ni mhindi kalipua, bomu limewekwa , missile, drone?
 
Back
Top Bottom