Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

Mbona umepaniki sana... Amekuwekea video hutaki. Kobaz mna shida sana. Huwa mnapinga tu kwa kujisikia.
Kila mtu aweza kuweka video. Wee pia kama wajua waweza kutuonesha unazungumza nasi kutoka mwezini!
 
Mbona umepaniki sana... Amekuwekea video hutaki. Kobaz mna shida sana. Huwa mnapinga tu kwa kujisikia.
Nyie mmepigwa marufuku kanisani kuonesha mnayofanyiwa na Wayahudi hata siku moja hamuwezi kuonesha ..Nina ushahidi na kuna video mtu aliambiwa afute na viongozi wake wa kanisa ..Katafute channel inaitwa CBN uone
 
Mimi mwenyewe sasa hivi nipo huku hakuna kitu kama hicho mnadanganyana tu huko na kujazana chuki zisizo na maana toka mwezi wa nne mimi Niko huku natarajia tu kurudi June 08,2025. Sema tu mmejazwa chuki na Wafuga Midevu na Majini wa huko nyumbani.

Huku tunatembea kila mahali hakuna wa kutubughuzi mpaka tuliingia kwenye limusikiti lenu la Al-Agsa ambalo litakuja kubomolewa!!!
Huku sehemu hatari sana kutembelea ni maeneo ya waarabu huko ni hatari sana vibaka wako wengi sana na ni wabaguzi wa kutupwa!!!!
Upo mji gani Israel? na maeneo ya waarabu ni maeneo yapi? wayahudi wamechanganyikana sana na waarabu, hebu tueleze hayo maeneo wanaishi waarabu ni yapi?
 
Hao unaowasema wewe watoto wakati wanauliwa baba zao na mama zao daima wanakuwa wapi? Kwani jukumu la kuwalinda watoto wao ni la nani? Au mabomu ya Israel yanawalenga watoto tu wakubwa yanawakwepa? Au Hamas kwa kuwa ni Magaidi wanawatumia kama Kinga (Human-Shield)? Au mnawatumia wanawake na watoto ili mpate huruma kutoka Jumuia za ki mataifa?
Israel ndio ya kuonewa huruma, kwa vifaa walivyonavyo Hamas na muda ambao IDF imetumia kuwamaliza na imeshindwa inashangaza sana, wale wayahudi hodari kwenye vita kwenye vitabu vya torati n.k ndio hao Hamas, hao kina Netanyahu ni vibaraka wa kizungu kutoka Ulaya waliofika hapo kuweka kambi ya kijeshi kwa middle east kwa interests zao binafsi..
 
Sawa Mkuu kila la kheri!
Mimi mwenyewe sasa hivi nipo huku hakuna kitu kama hicho mnadanganyana tu huko na kujazana chuki zisizo na maana toka mwezi wa nne mimi Niko huku natarajia tu kurudi June 08,2025. Sema tu mmejazwa chuki na Wafuga Midevu na Majini wa huko nyumbani.

Huku tunatembea kila mahali hakuna wa kutubughuzi mpaka tuliingia kwenye limusikiti lenu la Al-Agsa ambalo litakuja kubomolewa!!!
Huku sehemu hatari sana kutembelea ni maeneo ya waarabu huko ni hatari sana vibaka wako wengi sana na ni wabaguzi wa kutupwa!!!!
 
Mwongo, mdini mkubwa wee. Wee uko kwenye 'guided tour' utajuaje? Watu wanazungumza logic hapa siyo udini wa kijinga.
Eti “Guided tour” uongo wako unakusaidia nini Mimi Niko huku toka April 06,2025 na natarajia kurudi nyumbani June 08,2025. Kuna sehemu ambazo kama tunataka maelezo tunachukua mwenyeji kwingine tunazagaa mitaani wenyewe hatujawahi kutemewa matę kama mnavyodai.
Hivi mkisema ukweli mnafikiri nini kitawatokea na mkisema uongo ndiyo Mataifa ya Israel iwe dhaifu? Acheni ujinga!!!
 
Israel ndio ya kuonewa huruma, kwa vifaa walivyonavyo Hamas na muda ambao IDF imetumia kuwamaliza na imeshindwa inashangaza sana, wale wayahudi hodari kwenye vita kwenye vitabu vya torati n.k ndio hao Hamas, hao kina Netanyahu ni vibaraka wa kizungu kutoka Ulaya waliofika hapo kuweka kambi ya kijeshi kwa middle east kwa interests zao binafsi..
Nilitarajia utajibu maswali yangu nashangaa sasa hivi Unabwabwaja tu. Jibu maswali yangu!!!
 
Upo mji gani Israel? na maeneo ya waarabu ni maeneo yapi? wayahudi wamechanganyikana sana na waarabu, hebu tueleze hayo maeneo wanaishi waarabu ni yapi?
Katika watu 'ignorants' duniani ni hawa waliobatizwa kwa maji ya mfereji huku Afrika. Wao kila kitu wanatazama ni Mwislamu si Mwisllamu: hakuna haki, historia nk...
Suala la unyama wanaofanyiwa Wapalestina hivi sasa linatetewa na Wakristo wengi duniani hata kuliko Waislamu. Kila wiki maandamano ya mamilioni ya Wakristo Ulaya. Marekani....hata Filipina na Mexico nchi ambazo ni (traditional Christianity zaidi ya asilimia 90).... Lakini ni Wakristo wale waliobatizwa kwa maji safi Ulaya, si wetu hawa. Hawana idea ya truth, legality, history wala international laws. Wao mradi tu wewe ni Mgalati baaas! Hata ukimchinja mtu ukitaja jina la Yesu, watakusapoti wewe! Jinga kabisa, na Yesu (Peace be Upon Him) atakwenda kuwakana. MMungu kaumba mambo fulani lazima ufuate uadilifu, hata ukiwa nani: ukisema uongo hata kwa Mwislamu utaadhibiwa, na Mwislamu naye ataadhibiwa akisema uongo kwa Mkristo, Pagani nk. Ukimwibia, Ukimdhulumu....hali kadhalika. Hakuna udini hapo. Ni upumbavu tu.
 
Eti “Guided tour” uongo wako unakusaidia nini Mimi Niko huku toka April 06,2025 na natarajia kurudi nyumbani June 08,2025. Kuna sehemu ambazo kama tunataka maelezo tunachukua mwenyeji kwingine tunazagaa mitaani wenyewe hatujawahi kutemewa matę kama mnavyodai.
Hivi mkisema ukweli mnafikiri nini kitawatokea na mkisema uongo ndiyo Mataifa ya Israel iwe dhaifu? Acheni ujinga!!!
Uko huo kwa muda lakini hukusoma. Unajua kuwa wamama wa Kifalasha walipigwa sindanio na Wayahudi ili wasizae watoto weusi? Au hii pia utawatetea Wayahudi waliomwua Mungu wako? Ajabu sana hii. Sasa kama Wayahudi walimwua Mungu wako, unadhani Mungu wako atafurahia unawakumbatia? Ni kama kumkumbatia aliyembaka dada yako!
 
Unashangilia? Aidha uko juha au umezibwa macho na imani potofu ya dini!
Mayahudi si marafiki zako pia. Wakikuona watakutemea mate. Waulize Mafalasha!
Sio kweli, hata wewe waarabu wanajua tu kwamba wewe ni pagazi na mtumwa wao tu.

Bado wanakuona ni yule yule waliyekuwa wakimswaga kwa mijeledi na kumhasi kama ng'ombe na kumpeleka utumwani Asia.
 
Katika watu 'ignorants' duniani ni hawa waliobatizwa kwa maji ya mfereji huku Afrika. Wao kila kitu wanatazama ni Mwislamu si Mwisllamu: hakuna haki, historia nk...
Suala la unyama wanaofanyiwa Wapalestina hivi sasa linatetewa na Wakristo wengi duniani hata kuliko Waislamu. Kila wiki maandamano ya mamilioni ya Wakristo Ulaya. Marekani....hata Filipina na Mexico nchi ambazo ni (traditional Christianity zaidi ya asilimia 90).... Lakini ni Wakristo wale waliobatizwa kwa maji safi Ulaya, si wetu hawa. Hawana idea ya truth, legality, history wala international laws. Wao mradi tu wewe ni Mgalati baaas! Hata ukimchinja mtu ukitaja jina la Yesu, watakusapoti wewe! Jinga kabisa, na Yesu (Peace be Upon Him) atakwenda kuwakana. MMungu kaumba mambo fulani lazima ufuate uadilifu, hata ukiwa nani: ukisema uongo hata kwa Mwislamu utaadhibiwa, na Mwislamu naye ataadhibiwa akisema uongo kwa Mkristo, Pagani nk. Ukimwibia, Ukimdhulumu....hali kadhalika. Hakuna udini hapo. Ni upumbavu tu.
Kwa asilimia kubwa waislamu ni waongo sana na uongo walishaubatiza jina zuri wao uongo wanaita TAQIYYAH kama wewe ni mwislamu utaelewa lakini kama ni Mwislam-Koko utaendelea kuleta ubishi wa kijinga tu!!!
 
Uko huo kwa muda lakini hukusoma. Unajua kuwa wamama wa Kifalasha walipigwa sindanio na Wayahudi ili wasizae watoto weusi? Au hii pia utawatetea Wayahudi waliomwua Mungu wako? Ajabu sana hii. Sasa kama Wayahudi walimwua Mungu wako, unadhani Mungu wako atafurahia unawakumbatia? Ni kama kumkumbatia aliyembaka dada yako!
Acheni uongo leo hii ukimwambia falasha arudi Ethiopia hawezi kukubali kabisa kwa sababu huku wana haki sawa mpaka jeshini wako wengi tu!
Hivi uongo kwenu ni Jadi?
 
Nilitarajia utajibu maswali yangu nashangaa sasa hivi Unabwabwaja tu. Jibu maswali yangu!!!
We hujui chochote ndio maana napuuza maswali yasiyo na vichwa wala miguu, huelewi madhara ya kushambulia miji na nyumba za watu kwa ndege za kivita zilizobeba makombora yenye uzito mkubwa?

Kasome Circular Error Probable(CEP), mfano kipimo cha CEP ni mita 20, basi nusu ya makombora yatakayolengwa kutoka angani yatapiga ndani ya huo mduara wa mita 20.. mengine yanamiss.. hi inaeleweka kitaalamu..

Kuna Collateral Damage Estimate(CDE), hii ni kutathimini madhara kwa raia na malizisizo za kijeshi..

Kasome pia Blast Radius au Area of Effect(AoE), ina maana eneo linalokadiriwa kuathiriwa na mlipuko wa kombora...

Hivyo jeshi linaposhambulia mazingira au maeneo ambapo raia wanaishi inabidi kuzingatia hayo CEP, AoE na CDE, lakinijeshi la IDF hawazingatii yote hayo, hawajali chochote, wao wanapiga wanapojisikia wakifa watoto wanasema tulikuwa tunalenga Hamas n.k...

Umenielewa kiongozi..?
 
Back
Top Bottom