Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

Wanabusiana huko peponi huku wakisubiri wale wanawali 72 wenye macho kama ndulele
Wallah sheikh natamani ningekuwa mimi hii ni nafasi adhwimu sana ktk deen,huko sasa wenzetu wanajipigia minyama tu wengine huku kwenda wanaogopa.
 
Israel imeua maelfu ya wananchi wa Palestine na watoto kabla ya Oct 7, hao 1200 si kitu kwa idadi ya raia ambao waliuawa na jeshi la Israel...
Huko Gaza kila mtu ni mwanamke au mtoto
Achana na taarifa za Al-Jazeera
Kwenye takwimu zao haijawai kufa hamas
Akifa mtu ni mtoto au mwanamke au mwanahabari
 
Katika watu 'ignorants' duniani ni hawa waliobatizwa kwa maji ya mfereji huku Afrika. Wao kila kitu wanatazama ni Mwislamu si Mwisllamu: hakuna haki, historia nk...
Suala la unyama wanaofanyiwa Wapalestina hivi sasa linatetewa na Wakristo wengi duniani hata kuliko Waislamu. Kila wiki maandamano ya mamilioni ya Wakristo Ulaya. Marekani....hata Filipina na Mexico nchi ambazo ni (traditional Christianity zaidi ya asilimia 90).... Lakini ni Wakristo wale waliobatizwa kwa maji safi Ulaya, si wetu hawa. Hawana idea ya truth, legality, history wala international laws. Wao mradi tu wewe ni Mgalati baaas! Hata ukimchinja mtu ukitaja jina la Yesu, watakusapoti wewe! Jinga kabisa, na Yesu (Peace be Upon Him) atakwenda kuwakana. MMungu kaumba mambo fulani lazima ufuate uadilifu, hata ukiwa nani: ukisema uongo hata kwa Mwislamu utaadhibiwa, na Mwislamu naye ataadhibiwa akisema uongo kwa Mkristo, Pagani nk. Ukimwibia, Ukimdhulumu....hali kadhalika. Hakuna udini hapo. Ni upumbavu tu.
Kiukweli hizi akili za hawa wagalatia wenzangu mi nashangaa sana..
Na kibaya zaidi hawajitambui kama ni wajinga..
 
Huko Gaza kila mtu ni mwanamke au mtoto
Achana na taarifa za Al-Jazeera
Kwenye takwimu zao haijawai kufa hamas
Akifa mtu ni mtoto au mwanamke au mwanahabari
Mkuu nadhani huelewi kwa upana mazingira ya vita yalivyo..
Tazama huo mtaa tu mmoja Gaza ulivyopigwa na IDF, unataka kuniambia hayo maeneo waliishi watoto wangapi?
Kumbuka Gaza yote ni kifusi sasa nieleze waliawa watoto kiasi gani...

2736.jpg
 
Hamna lolote dalili ipo wapi kupiga maboom karibu 60 tons si dalili umepata ulicho lenga. Mimi naona hizo ni propoganda tu sababu mpa mda hu Hamas hawaja confirmed kauliwa.
 
We hujui chochote ndio maana napuuza maswali yasiyo na vichwa wala miguu, huelewi madhara ya kushambulia miji na nyumba za watu kwa ndege za kivita zilizobeba makombora yenye uzito mkubwa?
Kwa maana hiyo waarabu waliposhambulia Oct 07,2023 na kuua watu 1,200 na kuteka wengine 251 ulitaka IDF wanapewa Halua na Tende!!!?.
Kasome Circular Error Probable(CEP), mfano kipimo cha CEP ni mita 20, basi nusu ya makombora yatakayolengwa kutoka angani yatapiga ndani ya huo mduara wa mita 20.. mengine yanamiss.. hi inaeleweka kitaalamu..

Kuna Collateral Damage Estimate(CDE), hii ni kutathimini madhara kwa raia na malizisizo za kijeshi..

Kasome pia Blast Radius au Area of Effect(AoE), ina maana eneo linalokadiriwa kuathiriwa na mlipuko wa kombora...
jivike uhusika wewe mwenyewe Mmatumbi mwenzangu mmoja kaja kuvamia kwako Kaja familia yako na kuteka nyara watu wako Wewe kama wewe utatafuta kwanza kitabu cha Circular Error Probable(CEP) na kuangalia Colloateral Damage badala ya kuokoa watu wako? Au Hamas wakati wanavamia Israel Oct 07,2023 waliyaangalia yote hayo ulivyo Yasema wewe?
 
Kipigo anatoa myahudi kumpiga mwarabu Cha kushangaza, anatoka kobaz huko anatoa povu kwa mkristo. Hivi kwanini kobaz mnajaribu sana kutaka kutengeneza uadui wa Israel na wakristo. Kwanza ni lini muislam akawa na urafiki na kusupport ukristo?
 
Tel Aviv sehemu gani?
Hata kama nitakuambia wewe ulishalisha chuki huwezi kuelewa na haitakusaidia chochote maana huku hujawahi fika ni sawa uko Marekani Una mwambia wa huko kuwa wewe unaishi Mbagala kwa Mtogole sidłani kama atakuelewa lakini ukimwambia Dar-es-salaam ataelewa kidogo.
 
Kwa maana hiyo waarabu waliposhambulia Oct 07,2023 na kuua watu 1,200 na kuteka wengine 251 ulitaka IDF wanapewa Halua na Tende!!!?.

jivike uhusika wewe mwenyewe Mmatumbi mwenzangu mmoja kaja kuvamia kwako Kaja familia yako na kuteka nyara watu wako Wewe kama wewe utatafuta kwanza kitabu cha Circular Error Probable(CEP) na kuangalia Colloateral Damage badala ya kuokoa watu wako? Au Hamas wakati wanavamia Israel Oct 07,2023 waliyaangalia yote hayo ulivyo Yasema wewe?
Hamas walikua wanalipiza kisasi kwa kile Israel imekuwa ikiwafanyia miaka na miaka ndio maana nakuambia Oct 7 ilikuwa retaliation...
2008–2009 Wapalestina 1417 waliuawa
2014, Wapalestina 2,310 waliuawa
2021, Wapalestina 285 waliuawa

Hio ni kabla ya Oct 7 IDF inaua wapalestina,
Toka 1948 Israel imeua zaidi ya Palestinians 134,000, hapo ni kabla ya Oct 7 2023... Sasa hao 1200 mnalia nini?
ISrael ilikuwa inaingia Palestine inapiga na kuua inavyotaka, sasa kila kitu kina mwisho wake..
 
Hata kama nitakuambia wewe ulishalisha chuki huwezi kuelewa na haitakusaidia chochote maana huku hujawahi fika ni sawa uko Marekani Una mwambia wa huko kuwa wewe unaishi Mbagala kwa Mtogole sidłani kama atakuelewa lakini ukimwambia Dar-es-salaam ataelewa kidogo.
Acha porojo unaishi Tel Aviv sehemu gani? swali fupi sana na linaeleweka ila kujibu umeandika riwaya...
 
Hamas walikua wanalipiza kisasi kwa kile Israel imekuwa ikiwafanyia miaka na miaka ndio maana nakuambia Oct 7 ilikuwa retaliation...
2008–2009 Wapalestina 1417 waliuawa
2014, Wapalestina 2,310 waliuawa
2021, Wapalestina 285 waliuawa

Hio ni kabla ya Oct 7 IDF inaua wapalestina,
Toka 1948 Israel imeua zaidi ya Palestinians 134,000, hapo ni kabla ya Oct 7 2023... Sasa hao 1200 mnalia nini?
ISrael ilikuwa inaingia Palestine inapiga na kuua inavyotaka, sasa kila kitu kina mwisho wake..
Sasa kama ni Retaliation Israel nayo ina haki ya kujibu mashambulizi inayofanyiwa!! Kwa hiyo Acheni kulialia kama watoto wa Panya!!

Kama ni kuuwawa Wayahudi wameuwawa sana sema tu wewe hujui historia yao na huwezi kuijua kwa sababu ulishakuwa Brainwashed na waarabu!!
 
Waliokuwa na haki ya kujibu ni Palestine, ndio maana nimekuambia toka 1948 Israel imewaua 134,000, hii unaelewa watu laki moja na elfu thelathini na nne?
Wamevumilia toka miaka hio kuawa, kufungwa jela,kuteswa, kudhulumiwa na kila aina ya ukandamizaji, binadamu yeyote yule ana kikomo cha uvumilivu na hapo ndipo wakaamua na wao kulipiza kisasi...

Usikomae tu Oct 7, huelewi historia ya nyuma kaa kimya..
 
Nikikuambia itakusaidia nini mjinga wewe?
Kwani ulipoanza kushoboka kusema unaishi Israel nilikuuliza ama ni kiherehere chako, sasa ulinambia ili iweje? na ili inisaidie nini?
Hujui chochote kuihusu Israel we mpumbavu..
 
Waliokuwa na haki ya kujibu ni Palestine, ndio maana nimekuambia toka 1948 Israel imewaua 134,000, hii unaelewa watu laki moja na elfu thelathini na nne?
Wamevumilia toka miaka hio kuawa, kufungwa jela,kuteswa, kudhulumiwa na kila aina ya ukandamizaji, binadamu yeyote yule ana kikomo cha uvumilivu na hapo ndipo wakaamua na wao kulipiza kisasi...

Usikomae tu Oct 7, huelewi historia ya nyuma kaa kimya..
Wewe kwa akili yako unafikiria 1948 angalia hapo wayahudi kuuliwa hawajaanza Oct 07,2023!, soma historia acha kukaririshwa na wajinga!!!
 
Attachments

  • IMG_1123.jpeg
    IMG_1123.jpeg
    179 KB · Views: 17
Kwani ulipoanza kushoboka kusema unaishi Israel nilikuuliza ama ni kiherehere chako, sasa ulinambia ili iweje? na ili inisaidie nini?
Hujui chochote kuihusu Israel we mpumbavu..
Mpumbavu ni wewe ambaye hata tu historia hujui, hata nikikuambia haikusaidii chochote kile mjinga wewe!!
 
Waliokuwa na haki ya kujibu ni Palestine, ndio maana nimekuambia toka 1948 Israel imewaua 134,000, hii unaelewa watu laki moja na elfu thelathini na nne?
Wamevumilia toka miaka hio kuawa, kufungwa jela,kuteswa, kudhulumiwa na kila aina ya ukandamizaji, binadamu yeyote yule ana kikomo cha uvumilivu na hapo ndipo wakaamua na wao kulipiza kisasi...

Usikomae tu Oct 7, huelewi historia ya nyuma kaa kimya..
We Kweli zuzu kwahiyo wenye haki ni Palestine ila Israel hawana haki kweli we kinyero
 
Back
Top Bottom