Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

Wewe kwa akili yako unafikiria 1948 angalia hapo wayahudi kuuliwa hawajaanza Oct 07,2023!, soma historia acha kukaririshwa na wajinga!!
Nimekuambia hapo Palestininas 134,000 wameuawa toka 1948 uvamizi wa wayahudi, elezea hap Plaestinins toka kipindi hiko wenyewe wameua waIsrael wangapi hadi Oct 7...

Wewe ni mjinga na huna hoja..usinipotezee muda..
 
Acha Israel waue hao mashoga wa Palestine sababu hayo machoko ya kiarabu yanajifanyaga yanapenda vita Sasa yanalia nini
 
Nimekuambia hapo Palestininas 134,000 wameuawa toka 1948 uvamizi wa wayahudi, elezea hap Plaestinins toka kipindi hiko wenyewe wameua waIsrael wangapi hadi Oct 7...

Wewe ni mjinga na huna hoja..usinipotezee muda..
Kuanzia Oct 07,2023 mpaka sasa ni zaidi ya 50,000 kwa ulivyo zuzu unataka Israel nao waue 134,000. Kwenye vita hakuna kitu kama kulinganisha wafu!,,

Usishangae wewe ukaua 1,200 uliyemchokoza akaua wachokozi 70,000. Vitani hakuna siasa kama wewe ulitaka mlinganishe waliokufa imekuwa kwako!! Kwanza kikao cha kulinganisha wafu kilifanyika wapi? Au Magaidi wa Hamas walipovamia Oct 07,2023 walitoa taarifa kuwa sisi tumeua watu 1,200 na ninyi mkija muue 1,200 tu? Acheni siasa kwenye vita, Magaidi wa Hamas waacheni wavune walichopanda!!!
 
Kwani mbona kila siku mnasema mnaua viongozi 🤣🤣🤣na mziki ni ule ule
Kajitafakari sana kama Gaza ya Kabla ya Oct 07,2023 na watu wake iko hivyo hivyo basi wahi haraka sana Milembe Hospital ukalazwe kabla hojaanza kuokota makopo!,
 
Attachments

  • gaza.mp4
    2.7 MB
  • trim_CC1A09A0-EBFD-4E1A-AB00-412E6AC1126B.mp4
    5.3 MB
  • IMG_1413.jpeg
    IMG_1413.jpeg
    86.5 KB · Views: 24
Then, Mandel alikuwa gaidi, Ben Bella alikuwa gaidi....huo ndio ugaidi wanaozungumzia. Wako ni upi?
Mandela, Ben Bella na ugaidi wa Hamas wapi na wapi? Tofauti yao ni kama mbingu na ardhi, wala huwezi waweka kwenye sentensi moja na magaidi.

Mandela alikuwa kiongozi wa Chama cha African National Congress (ANC), kilichopambana dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini. Lengo lake kuu lilikuwa ni kuondoa mfumo huo wa kibaguzi na kuanzisha taifa la kidemokrasia, lenye usawa na lisilo na ubaguzi wa aina yoyote.

Mandela alitumia mbinu za amani na maandamano ya kiraia. Hakuwahi kujitoa mhanga kwa mabomu kama ilivyo kwa wanamgambo wa Hamas, wala hakuwahi kushambulia au kuteka nyara raia. Aidha, hakuwahi kutumia raia kama ngao ya kujilinda. Ni baada ya wanaharakati wa amani kushambuliwa na serikali ya makaburu ndipo alipoamua kuunga mkono mapambano ya silaha kupitia tawi la kijeshi la ANC, lijulikanalo kama Umkhonto we Sizwe (Mkuki wa Taifa).

Mandela alikamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha, ambapo alitumikia miaka 27 gerezani. Hata hivyo, harakati zake hatimaye ziliweza kuzaa matunda, na akawa alama ya maridhiano, haki na amani duniani kote. Kutokana na mchango wake wa kuleta amani bila kulipiza kisasi, alitunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka 1993. Mandela aliheshimika kama mpigania uhuru wa kweli na mwanaharakati wa haki za binadamu, na si gaidi wala mdini.

Kwa upande mwingine, Hamas ni kifupi cha Kiarabu "Harakat al-Muqawamah al-Islamiyyah", yaani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu. Kundi hili lilianzishwa mwaka 1987, wakati wa Intifada ya Kwanza—vuguvugu la Wapalestina dhidi ya kile kinachoitwa ukaliaji wa ardhi ya Palestina na Israeli.

Hamas ni kundi lenye sura mbili: ya kisiasa na kijeshi na lina mizizi ya Kiislamu kupitia itikadi ya Udugu wa Kiislamu (Muslim Brotherhood). Tofauti na Mandela, mbinu zake zimekuwa za kutumia ghasia dhidi ya raia na wanajeshi wa Israel kwa kutumia mawe, roketi, mabomu ya kujitoa mhanga, na mashambulizi ya kushtukiza. Watoto na watu wazima wamehusishwa kwenye Intifada na mapambano mengine.

Lengo kuu la Hamas ni kuanzisha dola ya Kiislamu katika ardhi yote ya Palestina, ikijumuisha maeneo ya sasa ya Israeli. Tangu mwaka 2007, Hamas imetawala Ukanda wa Gaza kwa kutumia mbinu za kidikteta, ikiwemo kukandamiza wapinzani wa kisiasa.

Mataifa mengi, kama vile Marekani na Umoja wa Ulaya, yanaitambua Hamas kama kundi la kigaidi kutokana na matumizi yake ya ghasia dhidi ya raia na kukataa kutambua haki ya Israeli ya kuishi. Kauli mbiu yao maarufu ni: "Kuanzia mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru.”
Kauli hii huonekana na mataifa mengi kama wito wa kufuta taifa la Israeli kwenye ramani ya dunia, jambo linalopingwa vikali kwa mujibu wa sheria za kimataifa, ambazo zinasisitiza kuwa kila taifa lina haki ya kuishi kwa amani bila hofu ya kuondolewa.

Tofauti za misingi kati ya Hamas na harakati za Mandela ni dhahiri shayiri

Hamas hutumia vurugu na ugaidi kama njia kuu ya kupigania uhuru.

Mandela alianza na maandamano ya amani, kisha akakubali mapambano ya silaha kama njia ya mwisho, na baadaye akachagua majadiliano na maridhiano.

Kwa msingi huo:

Mandela anatambuliwa duniani kama shujaa wa amani, haki, na maridhiano
wakati
Hamas inaonekana kama kikundi cha ugaidi kutokana na mbinu zake za kigaidi na kidini ingawa kwa baadhi ya Wapalestina na mataifa ya Kiarabu, Hamas huonekana kama wapigania uhuru.

Katika maeneo kama Ukanda wa Gaza, Hamas hutazamwa pia kama serikali halali, hasa kutokana na huduma zake kwa jamii na msimamo wake mkali dhidi ya Israeli.
 
Kuanzia Oct 07,2023 mpaka sasa ni zaidi ya 50,000 kwa ulivyo zuzu unataka Israel nao waue 134,000. Kwenye vita hakuna kitu kama kulinganisha wafu!,,

Usishangae wewe ukaua 1,200 uliyemchokoza akaua wachokozi 70,000. Vitani hakuna siasa kama wewe ulitaka mlinganishe waliokufa imekuwa kwako!! Kwanza kikao cha kulinganisha wafu kilifanyika wapi? Au Magaidi wa Hamas walipovamia Oct 07,2023 walitoa taarifa kuwa sisi tumeua watu 1,200 na ninyi mkija muue 1,200 tu? Acheni siasa kwenye vita, Magaidi wa Hamas waacheni wavune walichopanda!!!
Sijasema kulinganisha wafu, nilikuwa nakueleza we mpumbavu kwamba oct 7 Palestine walikuwa wakifanya retaliation bada ya Israel kuanza mauaji, umenielewa?
 
Mandela, Ben Bella na ugaidi wa Hamas wapi na wapi? Tofauti yao ni kama mbingu na ardhi, wala huwezi waweka kwenye sentensi moja na magaidi.

Mandela alikuwa kiongozi wa Chama cha African National Congress (ANC), kilichopambana dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini. Lengo lake kuu lilikuwa ni kuondoa mfumo huo wa kibaguzi na kuanzisha taifa la kidemokrasia, lenye usawa na lisilo na ubaguzi wa aina yoyote.

Mandela alitumia mbinu za amani na maandamano ya kiraia. Hakuwahi kujitoa mhanga kwa mabomu kama ilivyo kwa wanamgambo wa Hamas, wala hakuwahi kushambulia au kuteka nyara raia. Aidha, hakuwahi kutumia raia kama ngao ya kujilinda. Ni baada ya wanaharakati wa amani kushambuliwa na serikali ya makaburu ndipo alipoamua kuunga mkono mapambano ya silaha kupitia tawi la kijeshi la ANC, lijulikanalo kama Umkhonto we Sizwe (Mkuki wa Taifa).

Mandela alikamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha, ambapo alitumikia miaka 27 gerezani. Hata hivyo, harakati zake hatimaye ziliweza kuzaa matunda, na akawa alama ya maridhiano, haki na amani duniani kote. Kutokana na mchango wake wa kuleta amani bila kulipiza kisasi, alitunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka 1993. Mandela aliheshimika kama mpigania uhuru wa kweli na mwanaharakati wa haki za binadamu, na si gaidi wala mdini.

Kwa upande mwingine, Hamas ni kifupi cha Kiarabu "Harakat al-Muqawamah al-Islamiyyah", yaani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu. Kundi hili lilianzishwa mwaka 1987, wakati wa Intifada ya Kwanza—vuguvugu la Wapalestina dhidi ya kile kinachoitwa ukaliaji wa ardhi ya Palestina na Israeli.

Hamas ni kundi lenye sura mbili: ya kisiasa na kijeshi na lina mizizi ya Kiislamu kupitia itikadi ya Udugu wa Kiislamu (Muslim Brotherhood). Tofauti na Mandela, mbinu zake zimekuwa za kutumia ghasia dhidi ya raia na wanajeshi wa Israel kwa kutumia mawe, roketi, mabomu ya kujitoa mhanga, na mashambulizi ya kushtukiza. Watoto na watu wazima wamehusishwa kwenye Intifada na mapambano mengine.

Lengo kuu la Hamas ni kuanzisha dola ya Kiislamu katika ardhi yote ya Palestina, ikijumuisha maeneo ya sasa ya Israeli. Tangu mwaka 2007, Hamas imetawala Ukanda wa Gaza kwa kutumia mbinu za kidikteta, ikiwemo kukandamiza wapinzani wa kisiasa.

Mataifa mengi, kama vile Marekani na Umoja wa Ulaya, yanaitambua Hamas kama kundi la kigaidi kutokana na matumizi yake ya ghasia dhidi ya raia na kukataa kutambua haki ya Israeli ya kuishi. Kauli mbiu yao maarufu ni: "Kuanzia mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru.”
Kauli hii huonekana na mataifa mengi kama wito wa kufuta taifa la Israeli kwenye ramani ya dunia, jambo linalopingwa vikali kwa mujibu wa sheria za kimataifa, ambazo zinasisitiza kuwa kila taifa lina haki ya kuishi kwa amani bila hofu ya kuondolewa.

Tofauti za misingi kati ya Hamas na harakati za Mandela ni dhahiri shayiri

Hamas hutumia vurugu na ugaidi kama njia kuu ya kupigania uhuru.

Mandela alianza na maandamano ya amani, kisha akakubali mapambano ya silaha kama njia ya mwisho, na baadaye akachagua majadiliano na maridhiano.

Kwa msingi huo:

Mandela anatambuliwa duniani kama shujaa wa amani, haki, na maridhiano
wakati
Hamas inaonekana kama kikundi cha ugaidi kutokana na mbinu zake za kigaidi na kidini ingawa kwa baadhi ya Wapalestina na mataifa ya Kiarabu, Hamas huonekana kama wapigania uhuru.

Katika maeneo kama Ukanda wa Gaza, Hamas hutazamwa pia kama serikali halali, hasa kutokana na huduma zake kwa jamii na msimamo wake mkali dhidi ya Israeli.
Ni kupoteza wakati tu.
Isipokuwa nikuelimishe mawili matatu, sidhani kama utakubali hata maazimio ya Kimataifa maana umenyweshwa udini ukakuingia mpaka kwenye medullae oblongatae yako (nenda kwenye Kamusi uelewe ni nini hiyo).
Katika maamuzi ya Umoja wa Mataifa mwaka 1947, ululiamua nchi hii ya Palestina igawiwe baina ya jamii mbili: Wayahudi na Wapalestina.
Wayahudi, ambao wakati huo walikuwa asilimia 10 tu ya wakazi, walipewa asilimia 76% na wenyeji Wapalestina asilimia 26% ya ardhi, kwa vile, kama ulivyo wewe, wajumbe wa UN walikuwa wamejawa na chuki za kibaguzi na kidini (Wayahudi hawa siyo wale wa zama za Yesu. Hawa ni kabila liliingia dini ya Kiyahudi huko Ulaya. Wakawa wanaishi nchi za Urusi, Ukraine, Poland, Lithuania na Belarus. Kwa maana nyingine, hawa ni Wazungu wala hawana uhusiano wowote, hata wa DNA na ardhi ya Palestina. Uhusiano pekee ni wa Dini. Yaani: kama wewe Mkatoliki uende Italy useme una haki ya ardhi huko kwa vile Mkristo!). By the way, Wapalestina hawana 'nongwa' yoyote na Wayahudi wa asili waliokuwepo tangu Yesu, ambao idadi yao ilikuwa 5% wakati wa kuundwa Israel 1948!

Kufupisha maneno (maana siamini kama una daraja kubwa ya retention ya information), tatizo la Palestina hivi sasa ni juu ya hiyo asilimia 26% ya ardhi waliopewa Wapalestina na UN. Hata hiyo, Israeli (Wayahudi walowezi wa Kizungu) hawataki kuitoa. Eti MMungu aliwaahidi kuwa hiyo ni ardhi yao!
Juhudi Chungu nzima za UN kutatua hilo zimekwama, kwa vile Wayhudi hawa Wazungu wana ushawishi mkubwa baina ya Wazungu wenzao wa Ulaya, na wana hela nyingi. Maazimio zaidi ya 40 ya Umoja wa Mataifa ya kuwataka waondoke katika sehemu hiyo yamekwama. Juhudi nyingi za amani, mpaka nyingine ambazo Wapalestina wamekubali wawaongeze asilimia 6% ya ardhi ili mradi tu kuwe na amani, zimekwama.
Sasa nakuuliza maswali, ukiwa dini yoyote ile, au hata kama huna dini (maana Nyerere, Mkristo mzuri kuiko wewe, alikuwa anaunga mkono Wapalestina na hakukubali hata siku moja kuanzisha uhusiano na Wazungu walowezi wanaotumia dini ya Kiyahudi)... nakuuliza hivi, kama unaheshimu sheria au uadilifu tu, hatutaki kitu kingine.
1- Ungekuwa wewe Mpalestina ungefanya nini?
2- Unakubali maamuzi ya UN? (ambayo pia ndiyo iliyoamua kuwapa Wayahudi wa Kizungu walowezi asilimia 76% ya ardhi)?
3- Kwa maelezo hayo, nani gaidi?
4- Umoja wa Mataifa unaitambua sehemu hii, asilimia 26 kuwa ardhi inayokaliwa kwa mabavu (kama Afrrika Kusini wakati wa Makaburu) Wewe unaitambuaje? Au kwa vile wenye haki ni Waarabu, Waislamu? (Hilo pia ni ujinga, maana asilimia 12 ya Wapalestina ni Wakristo). Wee si kitu ila Mbaguzi mjinga wa kidini, na wenzio!
Hili siyo suala la dini (Wayahudi wengi katika hawa hata hawaamini kuna Mungu (ni atheists) akiwemo David Ben Gurion (aliye asisi Israel , amezaliwa Poland), Golda Meir (Waziri Mkuu wa pili, amezaliwa Lithuania) na hata huyu Netanyahu (amezaliwa Poland, jina lake hasa ni Benjamin Mileikowsky), hawaamini Mungu, ila wanaamini kuwa Mungu amewaahidi ardhi huko Palestina!
Wewe hutakuwa na elimu zaidi kuliko Nyerere (hata usome vipi) wala hutakuwa Mkristo mzuri zaidi kuliko Nyerere (Nyerere alikuwa na dola lakini hakuiba hata senti. Watoto wake hadi leo ni wa kawaida tu hakuwapa malezi tofauti wala hakuwapeleka nje. Sidhani kama wewe ungekuwa na nafasi ya Nyerere ungefanya hivyoo. Hiyo ndiyo ninayoikubali kuwa dini. Ama nyie 'tia mchuzi, pangu pakavu' mnafuata bendera na mihemuko tu, hamna maadili ya dini yeyote. Dini yeyote kwanza inasimama juu ya haki na uadilifu, hata kwa mbwa!
Haya nayaandika kwa elimu yako tu, siamini kama utafuata wala kubadilika maana 'ujinga ukiambatana na imani potofu za dini ni bomu lisiloweza kuteguliwa!' Tunao Waislamu wa hivyo pia, dini zote!
 
Unashangilia? Aidha uko juha au umezibwa macho na imani potofu ya dini!
Mayahudi si marafiki zako pia. Wakikuona watakutemea mate. Waulize Mafalasha!
Na somlia ni mayaid yanaua watu ? Je Sudan ? libyia? Nigeria?

Waislam ndo waleta fujo popote pale , hapa Tz wapijaribu wakashindwa
 
Irrelevant and stupid
 
Back
Top Bottom