Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

Sijasema kulinganisha wafu, nilikuwa nakueleza we mpumbavu kwamba oct 7 Palestine walikuwa wakifanya retaliation bada ya Israel kuanza mauaji, umenielewa?
Sasa hivi Israel nayo inalipiza kisasi kwa yaliyotokea Oct 07,2023 bila shaka wewe Mjinga na Mpumbavu utakuwa umeelewa!!

Au kwa kuwa wewe ni Mjinga na Mpumbavu unaelewa haki ya kulipiza kisasi wanayo Magaidi tu na Israel haina?
 
Ni kupoteza wakati tu.
Isipokuwa nikuelimishe mawili matatu, sidhani kama utakubali hata maazimio ya Kimataifa maana umenyweshwa udini ukakuingia mpaka kwenye medullae oblongatae yako (nenda kwenye Kamusi uelewe ni nini hiyo).
Huu ni UHARO mtupu!!
Katika maamuzi ya Umoja wa Mataifa mwaka 1947, ululiamua nchi hii ya Palestina igawiwe baina ya jamii mbili: Wayahudi na Wapalestina.
Ni kweli nchi ilikuwa igawiwe kwa Jamii mbili lakini waarabu walikataa na kushawishia na waarabu wenzao kuondoka nchini kupisha shambulio kubwa lililopangwa na nchi Jirani kuwaangamiza wayahudi wote ndiyo sababu ya waarabu kuondoka Israel ili nchi hizo zije kuwaangamiza wayahudi asibaki hata mmoja bahati nzuri shambulio hilo lilizimwa 1948 kwa wayahudi kujitangazia uhuru na waarabu waliokubali kuondoka kupisha kuangamizwa wayahudi walizuiliwa kurudi nchini mpaka leo hii.
Wayahudi, ambao wakati huo walikuwa asilimia 10 tu ya wakazi, walipewa asilimia 76% na wenyeji Wapalestina asilimia 26% ya ardhi, kwa vile, kama ulivyo wewe, wajumbe wa UN walikuwa wamejawa na chuki za kibaguzi na kidini (Wayahudi hawa siyo wale wa zama za Yesu. Hawa ni kabila liliingia dini ya Kiyahudi huko Ulaya. Wakawa wanaishi nchi za Urusi, Ukraine, Poland, Lithuania na Belarus. Kwa maana nyingine, hawa ni Wazungu wala hawana uhusiano wowote, hata wa DNA na ardhi ya Palestina. Uhusiano pekee ni wa Dini. Yaani: kama wewe Mkatoliki uende Italy useme una haki ya ardhi huko kwa vile Mkristo!). By the way, Wapalestina hawana 'nongwa' yoyote na Wayahudi wa asili waliokuwepo tangu Yesu, ambao idadi yao ilikuwa 5% wakati wa kuundwa Israel 1948!
Acha utoto wewe kusema uongo ni jadi yako? Wayahudi hawajawahi kuwa 10% hata siku moja acha kupindisha ukweli. Na kamwe huwezi kuubadirisha uongo kuwa Ukweli.
Mwaka 1947 walikuwa 32% na Mwaka 1948 walifika 82% kwa sababu ya wayahudi waliokuwa nje ya nchi kurudi nyumbani. Hiyo 10% sijui umeipata wapi Lete hapa hiyo Source ya uongo wako hapa tuone!!!
Kufupisha maneno (maana siamini kama una daraja kubwa ya retention ya information), tatizo la Palestina hivi sasa ni juu ya hiyo asilimia 26% ya ardhi waliopewa Wapalestina na UN. Hata hiyo, Israeli (Wayahudi walowezi wa Kizungu) hawataki kuitoa. Eti MMungu aliwaahidi kuwa hiyo ni ardhi yao!
UN ilitoa ardhi kwa Wayahudi 55% na zilizobaki kwa waarabu na siyo 26% kama unavyodai acha uongo. Lete source ya hiyo 26% tuone huo uongo wako.
Juhudi Chungu nzima za UN kutatua hilo zimekwama, kwa vile Wayhudi hawa Wazungu wana ushawishi mkubwa baina ya Wazungu wenzao wa Ulaya, na wana hela nyingi. Maazimio zaidi ya 40 ya Umoja wa Mataifa ya kuwataka waondoke katika sehemu hiyo yamekwama. Juhudi nyingi za amani, mpaka nyingine ambazo Wapalestina wamekubali wawaongeze asilimia 6% ya ardhi ili mradi tu kuwe na amani, zimekwama.
Sasa nakuuliza maswali, ukiwa dini yoyote ile, au hata kama huna dini (maana Nyerere, Mkristo mzuri kuiko wewe, alikuwa anaunga mkono Wapalestina na hakukubali hata siku moja kuanzisha uhusiano na Wazungu walowezi wanaotumia dini ya Kiyahudi)... nakuuliza hivi, kama unaheshimu sheria au uadilifu tu, hatutaki kitu kingine.
Tatizo lako wewe unaendeshwa na mihemko na chuki dhidi ya Wazungu wayahudi wamekaa nje ya nchi yao miaka mingi wengi walikuwa nchi za Ulaya na Marekani wengine wameua huko wamezaa huko na wengine Wamezaliwa huko sasa linapokuja suala la kurudi nyumbani kwa nini wewe uwaite wazungu?

Mimi ni Mmatumbi wa Kilwa nikaenda na familia yangu kukaa Kenya miaka 70 watoto wangu wakaoa huko wakazaa huko siku nikiamua mimi na familia yangu ATA tokena mtu kuniambia mimi Jaluo??
2- Unakubali maamuzi ya UN? (ambayo pia ndiyo iliyoamua kuwapa Wayahudi wa Kizungu walowezi asilimia 76% ya ardhi)?
Wayahudi wa kizungu ndiyo watu gani hao? UN haikuwatambua wewe Mmatumbi umewajulia wapi!!! Acheni uongo hauwasIdii chochote!!
 
Unashangilia? Aidha uko juha au umezibwa macho na imani potofu ya dini!
Mayahudi si marafiki zako pia. Wakikuona watakutemea mate. Waulize Mafalasha!
Hata waarabu hawana huo undugu katika imani na ngozi jueusi. Wakikuona wanakutemea mate.
 
Back
Top Bottom