Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
-
- #21
Mbona umepaniki sana... Amekuwekea video hutaki. Kobaz mna shida sana. Huwa mnapinga tu kwa kujisikia.Mwongo, mdini mkubwa wee. Wee uko kwenye 'guided tour' utajuaje? Watu wanazungumza logic hapa siyo udini wa kijinga.
Kobazi, Sinwars ni magaidi na wamewahishwa Jehanamu. Hutaki jinyongeThen, Mandel alikuwa gaidi, Ben Bella alikuwa gaidi....huo ndio ugaidi wanaozungumzia. Wako ni upi?
Kila mtu aweza kuweka video. Wee pia kama wajua waweza kutuonesha unazungumza nasi kutoka mwezini!Mbona umepaniki sana... Amekuwekea video hutaki. Kobaz mna shida sana. Huwa mnapinga tu kwa kujisikia.
Nyie mmepigwa marufuku kanisani kuonesha mnayofanyiwa na Wayahudi hata siku moja hamuwezi kuonesha ..Nina ushahidi na kuna video mtu aliambiwa afute na viongozi wake wa kanisa ..Katafute channel inaitwa CBN uoneMbona umepaniki sana... Amekuwekea video hutaki. Kobaz mna shida sana. Huwa mnapinga tu kwa kujisikia.
Mziki wa Hamas unazuia kuuwa viongozi wa Israel?Kwani mbona kila siku mnasema mnaua viongozi 🤣🤣🤣na mziki ni ule ule
Upo mji gani Israel? na maeneo ya waarabu ni maeneo yapi? wayahudi wamechanganyikana sana na waarabu, hebu tueleze hayo maeneo wanaishi waarabu ni yapi?Mimi mwenyewe sasa hivi nipo huku hakuna kitu kama hicho mnadanganyana tu huko na kujazana chuki zisizo na maana toka mwezi wa nne mimi Niko huku natarajia tu kurudi June 08,2025. Sema tu mmejazwa chuki na Wafuga Midevu na Majini wa huko nyumbani.
Huku tunatembea kila mahali hakuna wa kutubughuzi mpaka tuliingia kwenye limusikiti lenu la Al-Agsa ambalo litakuja kubomolewa!!!
Huku sehemu hatari sana kutembelea ni maeneo ya waarabu huko ni hatari sana vibaka wako wengi sana na ni wabaguzi wa kutupwa!!!!
Hao ni mgambo ,jihadist kufa ni ushindi wao ...Hakuna kurudi nyumaMziki wa Hamas unazuia kuuwa viongozi wa Israel?
Israel ndio ya kuonewa huruma, kwa vifaa walivyonavyo Hamas na muda ambao IDF imetumia kuwamaliza na imeshindwa inashangaza sana, wale wayahudi hodari kwenye vita kwenye vitabu vya torati n.k ndio hao Hamas, hao kina Netanyahu ni vibaraka wa kizungu kutoka Ulaya waliofika hapo kuweka kambi ya kijeshi kwa middle east kwa interests zao binafsi..Hao unaowasema wewe watoto wakati wanauliwa baba zao na mama zao daima wanakuwa wapi? Kwani jukumu la kuwalinda watoto wao ni la nani? Au mabomu ya Israel yanawalenga watoto tu wakubwa yanawakwepa? Au Hamas kwa kuwa ni Magaidi wanawatumia kama Kinga (Human-Shield)? Au mnawatumia wanawake na watoto ili mpate huruma kutoka Jumuia za ki mataifa?
Mimi mwenyewe sasa hivi nipo huku hakuna kitu kama hicho mnadanganyana tu huko na kujazana chuki zisizo na maana toka mwezi wa nne mimi Niko huku natarajia tu kurudi June 08,2025. Sema tu mmejazwa chuki na Wafuga Midevu na Majini wa huko nyumbani.
Huku tunatembea kila mahali hakuna wa kutubughuzi mpaka tuliingia kwenye limusikiti lenu la Al-Agsa ambalo litakuja kubomolewa!!!
Huku sehemu hatari sana kutembelea ni maeneo ya waarabu huko ni hatari sana vibaka wako wengi sana na ni wabaguzi wa kutupwa!!!!
Kila mtu aweza kuweka video. Wee pia kama wajua waweza kutuonesha unazungumza nasi kutoka mwezini!
Eti “Guided tour” uongo wako unakusaidia nini Mimi Niko huku toka April 06,2025 na natarajia kurudi nyumbani June 08,2025. Kuna sehemu ambazo kama tunataka maelezo tunachukua mwenyeji kwingine tunazagaa mitaani wenyewe hatujawahi kutemewa matę kama mnavyodai.Mwongo, mdini mkubwa wee. Wee uko kwenye 'guided tour' utajuaje? Watu wanazungumza logic hapa siyo udini wa kijinga.
Kati ya wajinga na wapumbavu ni wewe!!Kila mtu aweza kuweka video. Wee pia kama wajua waweza kutuonesha unazungumza nasi kutoka mwezini!
Nilitarajia utajibu maswali yangu nashangaa sasa hivi Unabwabwaja tu. Jibu maswali yangu!!!Israel ndio ya kuonewa huruma, kwa vifaa walivyonavyo Hamas na muda ambao IDF imetumia kuwamaliza na imeshindwa inashangaza sana, wale wayahudi hodari kwenye vita kwenye vitabu vya torati n.k ndio hao Hamas, hao kina Netanyahu ni vibaraka wa kizungu kutoka Ulaya waliofika hapo kuweka kambi ya kijeshi kwa middle east kwa interests zao binafsi..
Katika watu 'ignorants' duniani ni hawa waliobatizwa kwa maji ya mfereji huku Afrika. Wao kila kitu wanatazama ni Mwislamu si Mwisllamu: hakuna haki, historia nk...Upo mji gani Israel? na maeneo ya waarabu ni maeneo yapi? wayahudi wamechanganyikana sana na waarabu, hebu tueleze hayo maeneo wanaishi waarabu ni yapi?
Hii ndiyo 'defence' ya mtu asiye hoja. Kakojoe ulale kaka. tosha. Usijaribu sana.Kati ya wajinga na wapumbavu ni wewe!!
Uko huo kwa muda lakini hukusoma. Unajua kuwa wamama wa Kifalasha walipigwa sindanio na Wayahudi ili wasizae watoto weusi? Au hii pia utawatetea Wayahudi waliomwua Mungu wako? Ajabu sana hii. Sasa kama Wayahudi walimwua Mungu wako, unadhani Mungu wako atafurahia unawakumbatia? Ni kama kumkumbatia aliyembaka dada yako!Eti “Guided tour” uongo wako unakusaidia nini Mimi Niko huku toka April 06,2025 na natarajia kurudi nyumbani June 08,2025. Kuna sehemu ambazo kama tunataka maelezo tunachukua mwenyeji kwingine tunazagaa mitaani wenyewe hatujawahi kutemewa matę kama mnavyodai.
Hivi mkisema ukweli mnafikiri nini kitawatokea na mkisema uongo ndiyo Mataifa ya Israel iwe dhaifu? Acheni ujinga!!!
Sio kweli, hata wewe waarabu wanajua tu kwamba wewe ni pagazi na mtumwa wao tu.Unashangilia? Aidha uko juha au umezibwa macho na imani potofu ya dini!
Mayahudi si marafiki zako pia. Wakikuona watakutemea mate. Waulize Mafalasha!
Kwa asilimia kubwa waislamu ni waongo sana na uongo walishaubatiza jina zuri wao uongo wanaita TAQIYYAH kama wewe ni mwislamu utaelewa lakini kama ni Mwislam-Koko utaendelea kuleta ubishi wa kijinga tu!!!Katika watu 'ignorants' duniani ni hawa waliobatizwa kwa maji ya mfereji huku Afrika. Wao kila kitu wanatazama ni Mwislamu si Mwisllamu: hakuna haki, historia nk...
Suala la unyama wanaofanyiwa Wapalestina hivi sasa linatetewa na Wakristo wengi duniani hata kuliko Waislamu. Kila wiki maandamano ya mamilioni ya Wakristo Ulaya. Marekani....hata Filipina na Mexico nchi ambazo ni (traditional Christianity zaidi ya asilimia 90).... Lakini ni Wakristo wale waliobatizwa kwa maji safi Ulaya, si wetu hawa. Hawana idea ya truth, legality, history wala international laws. Wao mradi tu wewe ni Mgalati baaas! Hata ukimchinja mtu ukitaja jina la Yesu, watakusapoti wewe! Jinga kabisa, na Yesu (Peace be Upon Him) atakwenda kuwakana. MMungu kaumba mambo fulani lazima ufuate uadilifu, hata ukiwa nani: ukisema uongo hata kwa Mwislamu utaadhibiwa, na Mwislamu naye ataadhibiwa akisema uongo kwa Mkristo, Pagani nk. Ukimwibia, Ukimdhulumu....hali kadhalika. Hakuna udini hapo. Ni upumbavu tu.
Acheni uongo leo hii ukimwambia falasha arudi Ethiopia hawezi kukubali kabisa kwa sababu huku wana haki sawa mpaka jeshini wako wengi tu!Uko huo kwa muda lakini hukusoma. Unajua kuwa wamama wa Kifalasha walipigwa sindanio na Wayahudi ili wasizae watoto weusi? Au hii pia utawatetea Wayahudi waliomwua Mungu wako? Ajabu sana hii. Sasa kama Wayahudi walimwua Mungu wako, unadhani Mungu wako atafurahia unawakumbatia? Ni kama kumkumbatia aliyembaka dada yako!
We hujui chochote ndio maana napuuza maswali yasiyo na vichwa wala miguu, huelewi madhara ya kushambulia miji na nyumba za watu kwa ndege za kivita zilizobeba makombora yenye uzito mkubwa?Nilitarajia utajibu maswali yangu nashangaa sasa hivi Unabwabwaja tu. Jibu maswali yangu!!!