Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Israel kawatanguliza viongozi wa magaidi wengi sana! Huko mbinguni wanaweza kusababisha uhaba wa mabikra maana wameenda kwa kufuatana sana
Kawaida kwa mwanaume kupenda mabikra. Kuna wengine wanaamini kwenda kucheza na kupakatana
 
Yaani wewe kwa akili yako haujaelewa kwamba hata hapo Gaza au Lebanon Israel anapigana na Iran? Inakuwaje akipigwa Hamas au Hezbullah anayelia ni Iran na huanza kurusha Makombora. Kiongozi wa Hamas au Hezbullah akiuawa lazima Iran ajawe na hasira na kuanza kurusha Makombora wakati aliyeuawa siyo kiongoz wa Iran? Israel anajuwa namna ya kudeal na anayewatuma ndo maana hataki kuhangaika na Iran anachapa mbwa wake ili mwenye mbwa azidi kubweka
 
Myahudi alishasema
Sinwar was living β€œon borrowed time” after October 7.
Na akisema huwa hatanii
 
Kwa hiyo akishambuliwa na magaidi atulie kimya Hadi wamalize sio ?
 
Na Netanyau kamchezea mchezo mzuri sana Iran Ile kusema kwamba tutalipa kisasi imemfanya Ayatollah awe busy kungojea kisasi huku IDF ikiendelea kupeleka moto kwa vikundi anavyovifadhili.111
 
Magaidi wa Hamas hawajawahi kupigwa namna hii Magaidi wanasambaratika πŸ˜πŸ˜†

Mchezo unakwisha kwa Magaidi wa Hamas.

Mchezo unaenda kuwa Finish.
Ayatolah sasa kabaki pekeyake.
Yahya Sinwar was a resister, not a terrorist Yahya Sinwar was defending his land against the most despicable people in the history.
God save Gaza and Palestine.
 
Kifo ni moja ya majukumu ukiwa vitani. Kwa taarifa yenu hata afe nani haitakuwa mwisho wa kudai haki. Wapalestina wataendelea kudai haki yao mpaka mtu wa mwisho auwawe.

Kama kule South Africa Mandela alifungwa miaka 27 wengine waliuwawa lakini hawajaacha kupigania haki na uhuru wao mpaka walipopata.

Akifa Sinwar atachaguliwa mwingine mapambano yanaendelea mpaka kielekeweke
 
N
Na yule Rais wao ?
 
Yahya Sinwar was a resister, not a terrorist Yahya Sinwar was defending his land against the most despicable people in the history.
God save Gaza and Palestine.
Yahya Sinwar ni Gaidi la Kijihadi ambalo linapigania Msikiti wa Al AQsa na sio Wapalestina.
 
Kuna jamaa ni ndugu yake , wamsema ni series yaani anafuata moja kwa moja ...Picha zimezagaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…