Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Wakae meza moja wayamalize, ubishi hauna faida....unapigana na mtu aliekuzidi technology utawezaje?
Ni ngumu, unless kama mataifa makubwa yaamue kuingilia kati, lasivyo hizi resistance zitabadilika majina tu, na generations
 
yule pumbavuu anaeleta story za hamas yuko wapi mpaka wanamletea habari zake wenzie
 
Aisee
 

Attachments

  • Screenshot_20241017_202932_Instagram.jpg
    152.8 KB · Views: 2

Huyo Supreme Leader atajifia mwenyewe kwa stress huko kwenye mahandaki. Maana wairani wenyewe hawamtaki
 
Ina maa a wanazo prior biometric information za huyu jamaa?
 
Hiv habari za mkuu wa majesh kuliwa kichwa na drone ya hizbolar ziliishia wapi?Naona jamaa anadunda , hawa jamaa Mungu wao ni wa kweli asee.
 
Hii mikwara kila siku ni hivi hivi.
 
Sasa komandoo ndio uyo anafia vitani yani bado alikuwa anapigana sasa uyo Netanyahu anaweza kweli kushika mashine smg au ak47 ikiwa kalatasi tu anatetemeka mikono🤣🤣🤣

Acha kupotosha alikuwa anatoroka.
 
Team wabong'oaji husema wayahudi wanaua wanawake na watoto naona mwanamke wao Yahya Sinwar leo kajaa kwenye mfumo wa myahudi
YAAN SIKU WAMEMTEUA HUYU NKAONA POYOYOO HATA KUJIELEZA ANAISHA MAPE.A SANA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…