Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Yanaendelea wapi? Kamanda Sinwar alikuwa anatoroka ndio kakutana na maiti. Kilichobakia ni kuwafagia wote waliobaki bila kujali wamejificha hospitalini au shuleni lipua wote ili Gaza ikombolewe.
Hamas ipo kwenye damu za wapalestina ile ni ideology huwezi kuuwa ideology. Kila mtu Gaza na West Bank ni freedom fighters.
 
Kwahiyo?
 
Haikileta madhara yoyote. Ni sawa na walipiga matoys
Taarifa zilijaa kote kambi za jeshi ikiwemo Nevatim airbase ililipuliwa wewe unasema hakuna madhara.
Bro ulimwengu huu wa utandawazi utamdanganya nani!??
 
yahya sinwar ni shujaa,amekufa akipigana,akipigania haki ya nchi yake palestina,usimkejeli na hayo ya bikra hayana maana yoyote,wewe hujui chochote kuhusu mateso ya wapalestina,ipo siku haki yao itapatikana

Hamna kitu. Huyo ni gaidi. Wapiganaji wa uhuru ni PLO/ Fatah. Hawa akina Sinwar ndio kikwazo Cha kupatikana kwa taifa la Palestina. Ngoja wasafishwe halafu Gaza iwe Chini ya UN
 
Faiza Fox upo wapi. Msiba mwingine huu unaokuhusu umetokea leo huko Gaza sinza!ukienda msibani huko Gaza usisahau kuwashauli ya kuwa: USIPIGE NGUMI NCHA YA MKUKI!
 
Wanaosema alikua akijificha waumbuka mwamba alikua front kabisa akipambana vitani kama Mtume wetu Alivyopambana live katika battle
Hapo shuleni ndo battle ground?
 
Hamna kitu. Huyo ni gaidi. Wapiganaji wa uhuru ni PLO/ Fatah. Hawa akina Sinwar ndio kikwazo Cha kupatikana kwa taifa la Palestina. Ngoja wasafishwe halafu Gaza iwe Chini ya UN
Yahya Sinwar was a resister, not a terrorist Yahya Sinwar was defending his land against the most despicable people in the history.
God save Gaza and Palestine.
 
wajukuu wa Rebeca wanatupa raha jamani. leo kachinja yahaya sin wali, kesho yahaya sin pilau keshokutwa yahaya sin bilian mtondo goo wapenzi wa soka raha mpyaa raha ya yanga kuifunga simba 9-0!
 
Amepata malipo yake. Aliuwa watu kihuni Octoba 7 naye kaipata Leo.
Viongozi wengi wa Hamas kabla ya Sinwar wameuawa na Israel ila bado Hamas haikufutika wala mzozo haukumalizika.

Kuwaua viongozi wa Hamas sio suluhisho la kudumu la mgogoro huu wa miaka 75, suluhu ya kudumu ni Palestine ipate nchi yao na ukaliaji kimabavu (occupation) ufike mwisho.

FRANC THE GREAT zitto junior
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…