Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Naona mashoga yanafurahi kuona mwanaume rijali ameuawa kwa kupigania ardhi yake
 
Makafiri hata walipotaka kumuuwa Yesu walifirahi Kama wewe , hata kama atakuwa kafa , wewe Huo ukristo wako wa Paulo upoupo huna uhakika nao mbele ni kiza , huna zaidi ya kuendeshwa na shetani mauti yakikufika anakuwacha mkono uangamie peke yako
Hahaha! Islamists bana! Unataka kujifichia hapo pa Yesu, ambaye identity yake shetan wenu kwenye kitabu chake amekoroga madawa. Haupati sympathy ya Yesu. Ukitaka mpokee Yesu aliyefunuliwa kwenye biblia au mtaendelea na kilio mpaka mwisho. Iran the Head of the Octopus 🐙 is next. Nakwambia mapema kukusaidia tu. kaallah hakatawasaidia
 
Kwahio wew huto tu tweet ndio ndio unaamini ni information sahihi? Hakuna waongo kama IDF hivi unadhani mpaka leo hawajui mateka walipo angeamua kukaa tu mngempata akiwa na mateka? Hata wenyewe hawakujua mpaka waliposogea alikua na bullet prof na AK, halafu dini ambayo wewe huamini inakukera nini? Sawa ni uongo shida nini wengine wakiamini? Kila mtu na upeo wake na principles zake hivyo huwezi kuwapangia watu na mambo yao ya kiiman
Kwa sababu dini yenu ndiyo inayosababisha yote haya. Imejaa uongo na chuki tupu
 
Viongozi wengi wa Hamas kabla ya Sinwar wameuawa na Israel ila bado Hamas haikufutika wala mzozo haukumalizika.

Kuwaua viongozi wa Hamas sio suluhisho la kudumu la mgogoro huu wa miaka 75, suluhu ya kudumu ni Palestine ipate nchi yao na ukaliaji kimabavu (occupation) ufike mwisho.

FRANC THE GREAT zitto junior

Huko nyuma ilikuwa tofauti na Sasa. Kwa Sasa Israel ameshaharibu Miundo mbinu yote ya Hamas. Ndio maana Sinwar alikuwa anakimbia.
 
Wanaosema alikua akijificha waumbuka mwamba alikua front kabisa akipambana vitani kama Mtume wetu Alivyopambana live katika battle
Sawa! Allah atamzawadia pepo daraja ya kwanza kabisa pamoja na kipenzi chetu Nasra
 
Back
Top Bottom