Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel


Hakuna cha Occupation, Kuna sababu kubwa nyingine ambayo watu wanaihepa kuizungumzia kwasababu wanazozijua wao.


Kama issue ingelikuwa ni Occupation,basi leo Hamas na Hezbollah zingelikuwa zinaishambulia Jordan pia.
maana, 77 % ya Eneo la Palestine , Jordan ilijemega na kujitangazia Uhuru wake.

Jordan ilikuwa ni Palestina pia kwenye[BRITISH MANDATE OF PALESTINE],lakini hawa wapiganie uhuru wa Palestine( kama mnavyowaita) hawana shida na Jordan iliyochukua 77 %ya eneo la Palestine. ila wanashida na Israel tu, iliyochukua kaeneo kadogo kabisa.

Ukitembea karibu na misikiti na kusikiliza mawaidha yanayohusu huu mzozo utajua why Jordan haishambuliwi na Hamas.na uko ndiyo utajua sababu HALISI,na sio hii ya OCCUPATION.
 
Ikiwa Israel mpaa wamepima DNA ndio wamemjua sa mimi nimjue kwenye picture ambazo hazina dalili 💯 ni yeye.
Wanajeshi wengi wanamjua kwa picha tu mostly of IDF ni makid tu age 20-26 Sinwar hadi anatoka jela 2010 sijui 2021 walikuwa shule za misingi... so kuona sura inafana na Sinwar imebidi wakampime for surely. nadhani mwezi mmoja uliopita kuna mwili pia waliubeba wakidhani ni Sinwar.

Ila niwapeni Pole Muslim world kwa kufiwa na kipenzi chenu Sinwar.. i hope mtaachia mateka ili muishi another exchange of your life.

Nasikia Arabs kule Gaza wameshangilia news ya kudedishwa Sinwar je ni Kweli?
 
Usiwe na haraka wakati wa Iran utafika pia. Omba wasidhurike raia wasio na hatia.
 
Marekani kapeleka thaad kulinda anga ya israel,kwani si mifumo ya ulinzi wa anga ilikuwepo israel!?
imeenda kuongeza nguvu, urusi ana mifumo imara zaidi ya ulinzi duniani kuliko nchi yeyote ile lakini drone za ukraine zinampiga tena moscow kabisa
 
Television na website za Iran zinaogopa kuweka news za kifo cha Sinwar kipenzi chao walichomuingiza mkenge
 
Ismail Haniyeh kwani ni kiongozi wa dini!??
Mbona unachanganya mada!?
Nimekuambia muue kiongozi wa dini uone.
Pia usisahau yale makombora ya Oktoba 1 ndio kisasi cha Ismail Haniyeh.
kwani hamas si imeanzishwa na shehe na aliuliwa akiwa anatoka msikitini? haya unasema makombora kulipiza kisasi, ni kisasi kivipi kwani yamemuua nani au wewe hujui maana ya kisasi nini? kisasi mana yake ukiua na mimi nalipiza kwa kuua
 
Masikini Sina wali wetu koti lake la suti halitamaniki na nilishaliwahi Yahud wakifanya yao waniachie
 
So what? He died like a rat, headshot and right arm blown-off, he was killed by the Jews he once hated, a f*king miserable death, he got his comeuppance.
 
Aliwaambia wafuasi wake yeye ni Simba lakini kiuhalisia aliishi kwa kujificha chini ya handaki jeusi

Wadau hamjamboni nyote?

Hiyo siyo kauli yangu wakuu bali imetoka kwa Benjamin Netanyau

"Sinwar destroyed your lives. He told you he was a lion but in practice, he hid in a dark tunnel and was eliminated when he fled in a panic from our soldiers"
 
Yeye mwenyewe bila sapoti ya Marekani angekuwa anajificha kwenye handaki vilevile.
Inasikitisha, vita ni mbaya sana. Watoto wa Congo, Sudan, Afrika Magharibi, Palestina, Israel na sehemu nyingine wanateseka bila sababu yoyote.

Familia zinapoteza ndugu na jamaa. Naangaliaga namna familia zinavyopotezana. Huwa navuta picha namna gani tutatengana na kupotezana na mke na watoto wangu kwa kukimbia vita katika kipindi ambacho watoto wananihitaji sana.

Inasikitisha, dunia sio sehemu salama na hatujui wala hakuna sababu ya msingi ya kuuana kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…