GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Nasrallah mlisema sasa anakula bikra zake hukoUnahemka sana hadi unashangaza.
Israel hawezi kufanya unachokiota kijana.
Ukitaka hiyo Israel iangamie imuue kiongozi wa dini wa Iran.
Itaangamia hamtaamini.
Qmmke IDF wamefumua ubongo, Octoba 7 waliuwa kihuni, sasa ni zamu yao kuwawa kihuni!Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.
SINWAR amekufa kijinga kuliko makamanda wa Hezbollah...
Easy...easy!You don't have to worry!Mimi sio mkristu wa ajabu kenge wewe. Unahisi kila mkristu ni poyoyo anashikiwa akili?
Unahisi una mamlaka ya kunilaani wewe?
Yesu ana mambo mengi ya maana ya kufanya yenye tija hawezi kukusikiliza mtu kama wewe
Hivi hiyo DNA and Fingerprint Testing ONGOING to determine the identity of a body at the site of the strike imekamilika mpaka conclude kuwa Yahya Sinwar amefariki?
Bado haijadhibitikaKwahiyo amekufa?
Moyo unakuuma kama ndugu yako vileeHivi hiyo DNA and Fingerprint Testing ONGOING to determine the identity of a body at the site of the strike imekamilika mpaka conclude kuwa Yahya Sinwar amefariki?
IDF muda mrefu wana vipimo halisi vya hao ndugu katika imaan.Utaalamu huo si wa leo.Hata Yaser Arafat walienda naye hivyohivyo. Osama hali kadhalika.
Nimeangalia picha ni mwenyewe kabisa wameziweka mtandao xConfirmed! DNA results positive
Tambua akifa Israel itapata kila aina za msiba.Akitoboa hizi wiki tatu niite mbwa
Hawa wajamaa wana mbwembwe eti not special operation.
Sasa wewe na akili zako za kuvukia barabarani tangu yavurumushwe makombora toka iran april na juzi wamekufa wayahudi wangapi wakubwa campared kwa hao makamanda wa IRGF ?Tambua akifa Israel itapata kila aina za msiba.
Narudia kukwambia shia ukitaka kuwaona machizi duniani hakuna muue kiongozi wao wa dini.
Kama kamanda tu wanakurushia makombora 200 sasa jiulize ukimuua kiongozi wa dini watakufanyaje.
Hivi,hayo mawazo mlifundishwa wapi kwamba akiuawa huyo kiumbe itakuwa dhiki kubwa duniani?Tambua akifa Israel itapata kila aina za msiba.
Narudia kukwambia shia ukitaka kuwaona machizi duniani hakuna muue kiongozi wao wa dini.
Kama kamanda tu wanakurushia makombora 200 sasa jiulize ukimuua kiongozi wa dini watakufanyaje.
Dah! Vita ni kitu kibaya sana
You know nothing, not easy like thatCase imekwisha
Hii habari ulitakiwa kuileta baada ya DNA na Fingerprint kuthibitishaSenior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.
SINWAR amekufa kijinga kuliko makamanda wa Hezbollah...
Pia soma
- HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran