Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Ina maana alialibika sana kiasi cha kutotambulika mpaka ikawabidi wamfanyie DNA test? Kwanini mpaka sasa Hamas wapo kimya? Naofia tunachezewa movi hapa kama za osama bin laden.
 
Hakuna chombo chochote cha kimataifa kinachoheshimika ikiwemo TV ya waislamu ya aljazeera kilichotangaza hizo habari ni vimitandao uchwara vya youtube ndivyo vilisema hivyo
Hakukuwa na madhara yeyote
Huwa unapenda ubishani usio na maana.
Humu ndani hadi video za raia wa Israel zilirushwa zikionesha madhara.
Pia usiitukane Al-Jazeera ambayo ni chombo cha habari chenye tuzo nyingi za kimataifa kuliko chombo chochote ulimwenguni.
Tena kimepokea tuzo za best broadcaster miaka NANE MFULULIZO.
Wewe ni nani ukibeze!?
Huwa haunaga hoja we jamaa.
 
Yesu ana sympathy gani ?ambazo mwenyewe walitaka kumuuwa ?? Hata Yohana mbatizaji walimuuwa mwisho wao ulikuwa upi ?? si nao walikufa ??. Yesu anasema katika waliozaliwa na mwanamke hakuna Mkuu kuliko huyu , yaani hata yeye Yesu ni mdogo kwa mujibu wa maneno yake . Kifo ni lazima kwa kila kiumbe . M;uhimu unakufa na itikadi gani ?? kama ukia na imani ya Paulo kijana umeangamia

Yesu hakufundisha ukristo wala haujui wala hakutumwa kuja kuwafundisha ukristo .Yesu alitumwa kwa wayahudi TUU, wewe humo
Islamized islamists wa Buza kuna salamu zenu hapa

View: https://x.com/Osint613/status/1847055502351782132


View: https://x.com/AFreedomWarrior/status/1846899794863690084
 
Ina maana alialibika sana kiasi cha kutotambulika mpaka ikawabidi wamfanyie DNA test? Kwanini mpaka sasa Hamas wapo kimya? Naofia tunachezewa movi hapa kama za osama bin laden.
Kauliwa kweli kwani?
 
Inasikitisha, vita ni mbaya sana. Watoto wa Congo, Sudan, Afrika Magharibi, Palestina, Israel na sehemu nyingine wanateseka bila sababu yoyote.

Familia zinapoteza ndugu na jamaa. Naangaliaga namna familia zinavyopotezana. Huwa navuta picha namna gani tutatengana na kupotezana na mke na watoto wangu kwa kukimbia vita katika kipindi ambacho watoto wananihitaji sana.

Inasikitisha, dunia sio sehemu salama na hatujui wala hakuna sababu ya msingi ya kuuana kila siku.
Tatizo Kuna kikundi Cha watu kimejipa mamlaka ya kutoa hukumu hapa duniani wanajiona wao ni superior kuliko wengine wamekuwa brainwashed wanaona dini Yao ndio ya haki zingine zote ni za kishetani na hazitakiwi kuwepo hapa duniani pamoja na waumini wake.

Ovyo kabisa Hawa jamaa.
 
Ukimwaga uchafu kiwanja cha mtu unategemea akae kinywa?
Kwanini wameenda kuomba msaada wa ulinzi wa anga? Kwanini wanaogopa kulipa kisasi kwa sababu hii sio tabia yao ya kuchelewa kijibu mapigo kiasi hiki?
 
Magaidi siku zote wanadai wanapigania dini ya haki, dini ya mnyaazi mungu
Na yule aliyevaa kichupi Brian Deacon hadi mnamuabudu ili msamehewe dhambi hausiki kwenye ugaidi? Vipi wanaochukua ardhi za watu wakina mfalme Leopald II aliyeuwa wacongo hadi milioni 10 kwa kuwashikisha biblia?
Vipi waliokuwa wanatumia American Slave Bible iliyopo makumbusho washington kuwatesa watumwa?

images (59).jpeg
 
Ina maana alialibika sana kiasi cha kutotambulika mpaka ikawabidi wamfanyie DNA test? Kwanini mpaka sasa Hamas wapo kimya? Naofia tunachezewa movi hapa kama za osama bin laden.
Hapana siyo kwamba alihabika na pictures Zina muonyesha kabisa kuwa ni yeye. Tena mpaka Askari mmoja akamfunua mdomo kutambua meno yake ambayo yanatambulika kwa jinsi yalivyo mano u. Lakini kaka Israel IDF ni watu professional hawawezi mpeleka Netanyahu mbele ya vyombo vya habari kutangaza kitu ambacho baadae kitathibitika ni uongo ndiyo maana wakafanya kwanza DNA test
Hapa chini ni salamu zao wale maislamists wa Buza

View: https://x.com/AFreedomWarrior/status/1846899794863690084
 
Mossad sijui Israel sijui Mayahudi yaani wanaamua tu week hii nani tumweke kwenye target. Wanamla kichwa. Si sawa. Yahya Sinwar ni kiongozi mkubwa sana wa Hamas. Wamemuua

Serikali isinyamaze. Hili suala si dogo Israel wana tick tu kwenye kidaftari chao
✅ TAYARI

Si sawa hata kidogo. Wameonesha na video Sinwar amebaki na fimbo tu kafunikwa na mavumbi mpaka kwenye ulimi. Huu ni udhalilishaji. Si sawa. Tuandamaneni jamani.

Ritz Jagina Malaria 2 Adiosamigo tukitoka msikiliza Sheikh Kitinku leo tuandamaneni Serikali itoe tamko kuwakemea hawa Israel. Tena Ritz unakumbuka hawa Israel walihukumiwa kule South Africa? Unakumbuka zile threads ukionesha kuwa watafungwa muda si mrefu? Kumbushia wafungwe please. Wamezidi kwa kweli.
 
Mbona kama ni kejeli , mbona waislamu wana mengi ya kufanya kulingan mazingria waliyopo kuliko kwenda huko .
 
Kwa wale mlikuwa hamumfahamu huyu ndo Sinwar Yahya wote wawili pichani hawapo Duniani kwa sasa.

Screenshot_2024-10-18-08-28-31-140_com.google.android.googlequicksearchbox~2.jpg
 
Back
Top Bottom