matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kumbe yeye hatumii peger. Au aliachwa kwa sababu za kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gaza imegeuzwa magofu huoniKafa Ismail haniye je imepunguza nini? Katika harakati huu moto ni Marathon sio mita mia
Unapendelea awe sehemu gani ya nchi mbali ya Sumbawanga ili aandike atakacho?
Kwani lebanon ya kusini hao kobazi wenyewe wamebakiWaisraeli laki 3 wamekimbia makazi yao kaskazini na kila siku ana uhakika wa kuua wanajeshi zaidi ya 20 wewe huko sumbawanga unabwabwaja
Anatoa amri kwa mdomo halafu wenzake ndio wanatuma kwa Pager inasemekana watu wa karibu yake wamejeruhiwa vibaya.Kumbe yeye hatumii peger. Au aliachwa kwa sababu za kisiasa.
Mkuu kwema?Anatoa hutuba kutumia mic zilizotengenezwa na Israel.
Wajiimarishe kwanza ki technology ndio waongee ongee
Hahahaha fake Muslim leo hujamshirikisha Allah unatakiwa useme Inshallah... la sivyo dua zako zinakuwa kinyume nyume wanaumia Arabs.. waanze vita tu Arabs waishe wabaki wenye nchi yao Phonnecian christians before arabs invide Lebanon was a beautful country.. Sasa kuna miarabu hamna ugomvi na Israel wanachokoza hadi Israel kawachoka.. na mtapigwa mapigo makubwa sana remember stone age waliishe binadamu.. mtoto akililia wembe mpe umkate ataacha..Mimi namshangaa speech ya nini? Tunataka utumie silaha ilizo nazo chakaza kabisa Israel, hawa Israel sio wakuwaonea huruma. Speech Speech nani anataka Speech time ya action sio maneno.
Jiulize matokeo yake nini au israel atajibuje mapigo unapojaribu kuichakaza israel au ndio baadaye israel ikaanza kuwafumua mnaanza kulia UN mpo wapi ? Watoto na wanawake wanauawaMimi namshangaa speech ya nini? Tunataka utumie silaha ilizo nazo chakaza kabisa Israel, hawa Israel sio wakuwaonea huruma. Speech Speech nani anataka Speech time ya action sio maneno.
Israel hana lolote wewe anatisha watu na Nuclear we unadhani kupiga Nuclear Lebanon wao haitawadhuru unless uwe kichaa ndio utamini hivyo. Pili Hezbullah akipiga hio Nuclear reactors zao mbili nani atabaki hapo. Msije nyie ndio mkalalamika mmepigwa na Nuclear 😄Jiulize matokeo yake nini au israel atajibuje mapigo unapojaribu kuichakaza israel au ndio baadaye israel ikaanza kuwafumua mnaanza kulia UN mpo wapi ? Watoto na wanawake wanauawa
Hata mkiungana kobazi wote na magenge yote ya kigaidi hamuwezi kuifuta israel ameshindwa Firauni, hitler ndio wafia dini mtaweza mtaishia kufa kama kukuIsrael hana lolote wewe anatisha watu na Nuclear we unadhani kupiga Nuclear Lebanon wao haitawadhuru unless uwe kichaa ndio utamini hivyo. Pili Hezbullah akipiga hio Nuclear reactors zao mbili nani atabaki hapo. Msije nyie ndio mkalalamika mmepigwa na Nuclear [emoji1]
Baada ya hotuba usiku amechapwa mpaka hana hamu yaani Israel wanajambo lao19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024
LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH:
Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks
Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s fatal exploding devices attacks
Nasrallah says the device attacks - which killed at least 37 - crossed "all limits, rules and red lines" and paid "no heed to innocent people”
Hezbollah leader plays down impact of attacks
Hassan Nasrallah put the bravest possible face on what has undoubtedly been one of the darkest moments in Hezbollah’s history.
He claimed, perhaps improbably, that the group’s communications networks had survived unscathed, and he mocked this week’s reports that the head of Israel’s Northern Command, Maj Gen Ori Gordin, is pushing for the creation of an Israeli-controlled buffer zone in southern Lebanon.
Nasrallah called Gordin a “fool”. Israel’s threat, he said, would turn into Hezbollah’s opportunity, which would have “dire consequences” for Israel.
Hassan Nasrallah’s much anticipated speech, his first public reaction since the wave of attacks in Lebanon in the last couple of days, had, as expected, some strong words against Israel.
Referring to the country, he said “the enemy” had exceeded “all limits, rules, and red lines” with the explosions that killed at least 37 people and injured more than 3,000 others.
He described the attacks as a massacre, and acknowledged that this was an unprecedented blow for the group but that its ability to command and communicate remained intact.
An investigation into how it happened has been launched, he added.
“It can be called war crimes or a declaration of war - whatever you choose to name it, it is deserving and fits the description. This was the enemy's intention,” he said.
He vowed a just punishment but, unsurprisingly, there was no indication of how this response is going to be. The cross-border attacks on Israel will continue unless there is a ceasefire in Gaza, he added, saying that the residents in northern Israel who have been displaced because of the violence will not be allowed to return.
Nasrallah now says the attacks will be met with a response "in a way that they might expect and that they might not expect".
"I won’t talk about place, time, location, details," he adds.
"You will find out when it happens. This reckoning will happen. The details, we won’t reveal now, because we are now in a very sensitive stage of the battle."
Nasrallah then finishes his speech. We'll be wrapping up the key lines here, so stay with us.
Breaking News Kiongozi Mkuu wa magaidi wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kuzungumza na waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah kesho atazungumza na waandishi wa habari duniani kote
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Lebanon’s Hezbollah chief Sayyed Hassan Nasrallah will give a speech at 5 p.m. tomorrow, the terror group says in a statement.
The speech comes in the wake of pager detonations targeting the group’s members across Lebanon yesterday. The attack, widely attributed to Israel, killed nine people and injured around 3,000.
Lebanon hatupigi nyukilia tunapuliza sumu maalumu kwenye kila nyumba ya gaidi mpaka sasa kitu wameshafanyiwa nikama Hezbollah’s amekuwa palariseIsrael hana lolote wewe anatisha watu na Nuclear we unadhani kupiga Nuclear Lebanon wao haitawadhuru unless uwe kichaa ndio utamini hivyo. Pili Hezbullah akipiga hio Nuclear reactors zao mbili nani atabaki hapo. Msije nyie ndio mkalalamika mmepigwa na Nuclear 😄
Dunia nzima wanafahamu sasa Israel kaishiwa hana jipya, imebidi afanye terrorist ndio labda afanikiwe 😄 Trust me kafail vibaya sana.Lebanon hatupigi nyukilia tunapuliza sumu maalumu kwenye kila nyumba ya gaidi mpaka sasa kitu wameshafanyiwa nikama Hezbollah’s amekuwa palarise
Katoa hotuba tu jana leo kapewa dozi.19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024
LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH:
Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks
Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s fatal exploding devices attacks
Nasrallah says the device attacks - which killed at least 37 - crossed "all limits, rules and red lines" and paid "no heed to innocent people”
Hezbollah leader plays down impact of attacks
Hassan Nasrallah put the bravest possible face on what has undoubtedly been one of the darkest moments in Hezbollah’s history.
He claimed, perhaps improbably, that the group’s communications networks had survived unscathed, and he mocked this week’s reports that the head of Israel’s Northern Command, Maj Gen Ori Gordin, is pushing for the creation of an Israeli-controlled buffer zone in southern Lebanon.
Nasrallah called Gordin a “fool”. Israel’s threat, he said, would turn into Hezbollah’s opportunity, which would have “dire consequences” for Israel.
Hassan Nasrallah’s much anticipated speech, his first public reaction since the wave of attacks in Lebanon in the last couple of days, had, as expected, some strong words against Israel.
Referring to the country, he said “the enemy” had exceeded “all limits, rules, and red lines” with the explosions that killed at least 37 people and injured more than 3,000 others.
He described the attacks as a massacre, and acknowledged that this was an unprecedented blow for the group but that its ability to command and communicate remained intact.
An investigation into how it happened has been launched, he added.
“It can be called war crimes or a declaration of war - whatever you choose to name it, it is deserving and fits the description. This was the enemy's intention,” he said.
He vowed a just punishment but, unsurprisingly, there was no indication of how this response is going to be. The cross-border attacks on Israel will continue unless there is a ceasefire in Gaza, he added, saying that the residents in northern Israel who have been displaced because of the violence will not be allowed to return.
Nasrallah now says the attacks will be met with a response "in a way that they might expect and that they might not expect".
"I won’t talk about place, time, location, details," he adds.
"You will find out when it happens. This reckoning will happen. The details, we won’t reveal now, because we are now in a very sensitive stage of the battle."
Nasrallah then finishes his speech. We'll be wrapping up the key lines here, so stay with us.
Breaking News Kiongozi Mkuu wa magaidi wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kuzungumza na waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah kesho atazungumza na waandishi wa habari duniani kote
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Lebanon’s Hezbollah chief Sayyed Hassan Nasrallah will give a speech at 5 p.m. tomorrow, the terror group says in a statement.
The speech comes in the wake of pager detonations targeting the group’s members across Lebanon yesterday. The attack, widely attributed to Israel, killed nine people and injured around 3,000.
Tunasubiri kwa shauku kumsikiliza ulamaa mwanazuoni aliyekomaa!
Haijawahi kwisha kihivyo akitoka mmoja anaingia mmoja sasa ndio wamechimbia kaburi lao!