Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hezbollah Hassan Nasrallah kuzungumza na vyombo vya habari Duniani kote leo saa 12 jioni

Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hezbollah Hassan Nasrallah kuzungumza na vyombo vya habari Duniani kote leo saa 12 jioni

Telegram channel Gani mkuu. ?
Resistance news network
Rerum novarum
Intel Republic
GaA now in english
World affair blog
Lebanese news and updates

Zipo nyingi ila pitia hapa israhell weupe sana asee ndio maana wanaiogopa hizbullah

Israhell tayari ana kila sababu zakuingia vitani na hizbullab ila anajua pale sio holiwuudi
 
Binafsi sioni kama kuna tofauti yoyote ile kati ya hao Hezibollah na Mayahudi. Kwangu mimi hao wote wawili ni magaidi tu.
Maana kwa nyakati tofauti, wote wamekuwa wakishiriki kuondoa roho za raia wasio na hatia, kwa sababu zao binafsi za kisiasa.
Inawezekana ikawa hizbullah wabaya ila sidhanii kama wanafikia hata theluthi ya ubaya wa wazayuni

Wazayuni watu wahovyo sana na usiwafananishe na hizbullah wazayuni wauaji
 
Nawaza tu ndio mara yuko kwenye hotuba yake anasikia paa jinsi atakavyoharisha...
Unadhani watu wote wagonjwa kama wewe

Wewe ukisikia bomu la machozi tu week nzima kama sio mwezi hutoki nje unajisaidia kwenye makopo ukiwa chumbani

Vita sio nzuri ila kuna watu vita imekua sehemu ya maisha yao wamebebewa mimba wakiwa vitani wakaja wakazaliwa vitani wakaona wazazi na walezi wao wanafia vitani na wanaunda familia vitani vita imekua sehemu ya maisha yao yakila siku

Kwao mabomu sio jambo kubwa saaana kama wewe (sisi)
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12

Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote

Tutakujuza

Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024

Nasrallah expected to give speech at 6 p.m.

Today, 10:25 am
3

Hezbollah’s Secretary General Hassan Nasrallah is set to speak at 6 p.m., the terror group announces.

The expected speech comes following an Israeli preemptive strike on Hezbollah rocket launchers in Lebanon and the terror group’s reprisal for the assassination of top commander Fuad Shukr.
Hivi kwanini israel inamchelewesha huyu gaidi mkuu kwenda kuzimu
 
Resistance news network
Rerum novarum
Intel Republic
GaA now in english
World affair blog
Lebanese news and updates

Zipo nyingi ila pitia hapa israhell weupe sana asee ndio maana wanaiogopa hizbullah

Israhell tayari ana kila sababu zakuingia vitani na hizbullab ila anajua pale sio holiwuudi
Shukran
 
Tukupe link za telegram ukajionee mwenyewe labda

Ndio maana muasisi wa telegram wamemkamata leo huko ufaransa kwa kufichua aibu anayoipata israhell huko field

Usiombe ukutane na israhell ya kwenye media ila hii israhell yenyewe hamna kitu

Wazayuni wamejazana ben gurion huko wanaikimbia nchi ya watu ilopewa jina la israhell
Telegram sijui ina nini .....Tangu jana haifunguki...
 
Yule jamaa mtu na nusu aliambiwa awafungie au awachome akachomoa, mwanzoni twiter,wasap na FB wametusaliti sana wapenda haki ila ndio hivyo wakicompromise telegram tutahamia China Kuna network wanaifanyia majaribio
 
Raia washamchoka Hana mvuto tena viongozi wake waandamizi wanakufa kama kuku huko Lebanon huku wao wakirusha mafashi fashi ambayo yamegeuka kuwa kivutio kwa waisrael badala ya threat
 
Resistance news network
Rerum novarum
Intel Republic
GaA now in english
World affair blog
Lebanese news and updates

Zipo nyingi ila pitia hapa israhell weupe sana asee ndio maana wanaiogopa hizbullah

Israhell tayari ana kila sababu zakuingia vitani na hizbullab ila anajua pale sio holiwuudi
Sasa kama ni weupe kwanini wasiangamizwe? Na Palestine ipate Uhuru?
 
wakala wa shetani huyo anatumikishwa na Iran kwa ahadi ya mito ya pombe na mabikira 72 siku atakapokufa atashangaa sana akifika kuzimu maana yeye ndo atajikuta amekuwa bikira kwa majini
Kazi kweli kweli! Allah wao anakazi kubwa sana
 
Telegram sijui ina nini .....Tangu jana haifunguki...
Kwangu inafunguka ila muda huu kidogo nimehisi kuna tatizo tatizo txt na jumbe zachelewa ingia

Sijui kuna uhusiano wowote na founder wake kukamatwa huko ufaransa wanaojifanya kusimamia uhuru wakutoa maoni kumbe wanfiq na washenzi
 
Yule jamaa mtu na nusu aliambiwa awafungie au awachome akachomoa, mwanzoni twiter,wasap na FB wametusaliti sana wapenda haki ila ndio hivyo wakicompromise telegram tutahamia China Kuna network wanaifanyia majaribio
Jamaa mara hii sidhanii kama atatoboa kwakweli

Ngoja nianze kutafta acces ya weibo ila nao wachina wanapenda sana lugha yao kwetu changamoto sisi wengine

Ila tg ilikua superb sanaaaa
 
Sasa kama ni weupe kwanini wasiangamizwe? Na Palestine ipate Uhuru?
Uhuru sio rahisi kuupata kinachozuia Palestine kupata uhuru nikwakua israhell kapewa mabomu ya nyuklia na hana akili

Anaweza akaamua kuua wote pale Palestine pamoja na israhell yao walioiiba

Sasa kudeal na kichaa inatakiwa timing kubwaaa
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12

Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote

Tutakujuza

Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024

Nasrallah expected to give speech at 6 p.m.

Today, 10:25 am
3

Hezbollah’s Secretary General Hassan Nasrallah is set to speak at 6 p.m., the terror group announces.

The expected speech comes following an Israeli preemptive strike on Hezbollah rocket launchers in Lebanon and the terror group’s reprisal for the assassination of top commander Fuad Shukr.
Wewe akili zako kila anaye wapinga America na Israel ni gaidi, wakati anaye fanya genocide mnamuita Malaika 😄 Tukiwambia ukristo ni ugonjwa kama vile mlivyo mzulia Yesu kamwaga dama ili muokoke. Hata mtoto anaye nyonya ziwa la mama yake akisikia hio ya Yesu alimwaga damu yake ili mfutiwe dhambi zenu atacheka sana, mpaa atazila ziwa la mama yake kwa uwongo huo 😄
 
Back
Top Bottom