Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hezbollah Hassan Nasrallah kuzungumza na vyombo vya habari Duniani kote leo saa 12 jioni

Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hezbollah Hassan Nasrallah kuzungumza na vyombo vya habari Duniani kote leo saa 12 jioni

Nasubiri hii hotuba ni njema Leo Hezbollah wamenifurahisha asubuhi ya Leo baada ya kushambulia makao makuu ya MOSSAD , Shinbet na Military intelligence huko Tel Aviv.
 
Yaan niupload mzigo wa GBs za kutosha kisa watu wachache humu wewe fuatilia telegram utazipata
Hamkosagi visingizi 🤣🤣🤣🤣
Wavaa kobaz mna shida sana nyie wazee wa kulia lia na kuonewa huruma 😪😭😭
 
Kiongozi wa Hezibollah huyo atakuwa anaishi nje ya Lebanon, inawezekana yuko Teheran anakula ba

ta, angekuwa Lebanon angekuwa ameshadunguliwa na yahudi.
 
Unaweza
Wadau hamjamboni nyote?

Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12

Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote

Tutakujuza

Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024

Nasrallah expected to give speech at 6 p.m.

Today, 10:25 am
3

Hezbollah’s Secretary General Hassan Nasrallah is set to speak at 6 p.m., the terror group announces.

The expected speech comes following an Israeli preemptive strike on Hezbollah rocket launchers in Lebanon and the terror group’s reprisal for the assassination of top commander Fuad Shukr.
Yawezekana kashajua ukweli kuwa dini yake imejaa upotoshaji mkubwa Sasa anataka KURUDI kwa Yesu
 
wakala wa shetani huyo anatumikishwa na Iran kwa ahadi ya mito ya pombe na mabikira 72 siku atakapokufa atashangaa sana akifika kuzimu maana yeye ndo atajikuta amekuwa bikira kwa majini
Wewe jamaaa ulizaliwa wapi?????🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12

Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote

Tutakujuza

Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024

Nasrallah expected to give speech at 6 p.m.

Today, 10:25 am
3

Hezbollah’s Secretary General Hassan Nasrallah is set to speak at 6 p.m., the terror group announces.

The expected speech comes following an Israeli preemptive strike on Hezbollah rocket launchers in Lebanon and the terror group’s reprisal for the assassination of top commander Fuad Shukr.
Kwa hiyo magaidi wa Israel,watamsikiliza pia?
 
Inawezekana ikawa hizbullah wabaya ila sidhanii kama wanafikia hata theluthi ya ubaya wa wazayuni

Wazayuni watu wahovyo sana na usiwafananishe na hizbullah wazayuni wauaji
Hao israel ni magaidi.Ndio walimsulubu Yesu na kumuua.Na mpaka sasa wanamwita mtoto wa nje ya Ndoa.Ndio maana Mwalimu Nyerere,aliwatimua Tanzania.
 
Ipo siku Israel watakula kichwa chake, maana Kama makamanda wao wanadunguliwa ndani ya nchi yao basi ni suala la muda tu.
 
Saa hii ni saa 2 kasoro usiku huyo madevu anazungumzia wapi au masjid?
Habari zilishakua za zamani wewe subiri wachambuzi wenu wawasimulie Nasrallah katuheshimisha leo anasema hawezi kusujudia mtu wao wanautaka waje tuu
 
Habari zilishakua za zamani wewe subiri wachambuzi wenu wawasimulie Nasrallah katuheshimisha leo anasema hawezi kusujudia mtu wao wanautaka waje tuu
Nyie SI ndío vibaraka wake humu ndio mnaotakiwa kutuhabarisha japo Hana jipya
 
Uhuru sio rahisi kuupata kinachozuia Palestine kupata uhuru nikwakua israhell kapewa mabomu ya nyuklia na hana akili

Anaweza akaamua kuua wote pale Palestine pamoja na israhell yao walioiiba

Sasa kudeal na kichaa inatakiwa timing kubwaaa
Si Iran amalize huu mgogoro kwa kuwafuta waisrael maana si ana nyuklia?
 
Hivi wewe unawajua mazayuni kwa uongo hakuna kilichosambaratishwa hizbo wamechapa kambi 11 za mazayuni na wamerekodi video tunazo telegram hizbo taalifa zao zinapgwa pini huwezi kuzipata kwenye media za wazayun
post video hapa
 
Aisee boss wa Telegram wamemkamata Paris
 
Back
Top Bottom