Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hezbollah Hassan Nasrallah kuzungumza na vyombo vya habari Duniani kote leo saa 12 jioni

Kwanini israhell yeye asitumie nyuklia kuwafuta iran au Palestine au hana nyuklia?
Israel inawapenda wapalestina maana ni watoto wa mjakazi wao kwa hiyo hawawezi ua kizazi cha beki tatu wao.
 
Yule jamaa mtu na nusu aliambiwa awafungie au awachome akachomoa, mwanzoni twiter,wasap na FB wametusaliti sana wapenda haki ila ndio hivyo wakicompromise telegram tutahamia China Kuna network wanaifanyia majaribio
Au pornhub huko hawafich kitu mkuu
 
Bado hajaongea tuuu!?
Au Bomu lilimkuta akiwa kwenye hotuba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…