Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

Ndivyo wajinga wanavyowasikolizaga mataga wanaliwa
 
Unaandika kwasababu hauna mtoto au watoto.
Endelea kutopata mtoto au watoto milele.
Siku ukipata mtoto au watoto. Njoo usome hii comment yako hakika utaifuta.
Kapenda mapenzi
Shuleni wanasoma wazazi
Mnataka kufanya elimu ya kidwanzi

Mnyanduane huko useme umebakwa
Mitoto yenyewe hii..
Dunia sio ya huruma kiasi hicho
 
Usilalamke mleta mada kapata mimba kazaa mpeleke private akasome Kama Ni Bahati mbaya lazime apasue kielumu na Kama poyoyo we mpeleke ufundi
 
Si umtaje tu?
 
Weka jina hadharani tumjue ni nani huyo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…