Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali.

Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa kuzuia watoto wasirudi shule mwanaye wa kike alipata ujauzito kutoka kwa mwanafunzi aliyekuwa anasoma naye shule moja ya hadhi hapa nchini. Familia hizi mbili za binti na kijana wa kiume waliitana wakakaa kikao na agenda kuu zikiwa kufichiana aibu na kutochuliwa hatua za kisheria kwa mwanaume aliyehusika Kama sheria zinavyotaka. Lakini pia kuona namna ambavyo vijana Hawa wataendelea na masomo ambapo binti aliachishwa masomo bila shule husika kupewa sababu na kijana kuendelea na masomo bila shule husika kutambua kwamba amempa mwanafunzi ujauzito.

Miezi sita tu baada ya binti kujifungua wazazi wamemtaftia shule nje ya nchi kwa ajili ya kuendelea na masomo huku mjukuu akibaki kwenye malezi ya babu na Bibi. Kwa kuona haya na kwakuzingatia namna tulivyoaminishwa kuhusu elimu kwa watoto waliojifungua nikaona nilete mada hii kwa sababu kuu mbili

1. Kwanza wanasiasa na wasomi wetu pamoja na viongozi wa dini wajifunze kuwa wakweli, waadilifu na wanaosimamia haki kwa watu wote bila kujali tajiri na masikini au msomi na asiyesoma.

2. Wazazi ambao hatuna nyadhifa Wala madaraka tusisikilize serikali tukaacha kuwasaidia watoto wetu wa kike, wao wanajua namna yakuficha aibu na kuendelea kupigania maisha ya watoto wao bila kuzingatia ujauzito na kadhia nyingine. Hoja kwamba tuwaadhibu watoto wetu hazina mashiko Cha msingi tuangalie ustawi wa familia zetu. Hawa wtu waliosoma na wenye nyadhifa si kila Jambo wanalosimamia wanaliamini Bali baadhi ya mambo wanafanya kupata ujira wao.
 
Kuna mwanasiasa alikuambia "za kuambiwa, changanya na za kwako" mwanasiasa kukuambia mabomba kutoa maji na maziwa ni kitu cha kawaida!!!!
 
Stori za jina ni u@&@($&nge ila hata kama jina lingetajwa huyu mwanasiasa yuko sahihi

Wao wamekataza mtoto kurudi shule ya serikali ila ya private ama huko nje ni ruksa,suala la maskini hawamudu gharama hili ni juu yao (wawaambie watoto wao kuacha kujihusisha na mapenzi)

Mwanasiasa huyo yuko sawa 100%
 
Kapenda mapenzi
Shuleni wanasoma wazazi
Mnataka kufanya elimu ya kidwanzi

Mnyanduane huko useme umebakwa
Mitoto yenyewe hii..
Dunia sio ya huruma kiasi hicho
 
Sijategemea kuukuta uzi kama huu.hivi umejaribu kuwaza kidogo tu kuwa kama wakiruhusiwa kurudi shule nn kitatokea kwa wanafunzi walio bakia?je shule zitabakia kuwa eneo la kupata elimu au makutano ya wazazi?umewahi waza nidhamu itakuwaje kwa hicho kitakacho endelea?Acha juinga mlee mtoto katika maadili asiposikia hiyo ni moja ya kumuadhibu na hato rudia tena.
 
Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali.

Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa kuzuia watoto wasirudi shule mwanaye wa kike alipata ujauzito kutoka kwa mwanafunzi aliyekuwa anasoma naye shule moja ya hadhi hapa nchini. Familia hizi mbili za binti na kijana wa kiume waliitana wakakaa kikao na agenda kuu zikiwa kufichiana aibu na kutochuliwa hatua za kisheria kwa mwanaume aliyehusika Kama sheria zinavyotaka. Lakini pia kuona namna ambavyo vijana Hawa wataendelea na masomo ambapo binti aliachishwa masomo bila shule husika kupewa sababu na kijana kuendelea na masomo bila shule husika kutambua kwamba amempa mwanafunzi ujauzito.

Miezi sita tu baada ya binti kujifungua wazazi wamemtaftia shule nje ya nchi kwa ajili ya kuendelea na masomo huku mjukuu akibaki kwenye malezi ya babu na Bibi. Kwa kuona haya na kwakuzingatia namna tulivyoaminishwa kuhusu elimu kwa watoto waliojifungua nikaona nilete mada hii kwa sababu kuu mbili

1. Kwanza wanasiasa na wasomi wetu pamoja na viongozi wa dini wajifunze kuwa wakweli, waadilifu na wanaosimamia haki kwa watu wote bila kujali tajiri na masikini au msomi na asiyesoma.

2. Wazazi ambao hatuna nyadhifa Wala madaraka tusisikilize serikali tukaacha kuwasaidia watoto wetu wa kike, wao wanajua namna yakuficha aibu na kuendelea kupigania maisha ya watoto wao bila kuzingatia ujauzito na kadhia nyingine. Hoja kwamba tuwaadhibu watoto wetu hazina mashiko Cha msingi tuangalie ustawi wa familia zetu. Hawa wtu waliosoma na wenye nyadhifa si kila Jambo wanalosimamia wanaliamini Bali baadhi ya mambo wanafanya kupata ujira wao.
Trust No-Politicians.
 
Kwani huko private au nje wanakoenda kusoma wanaathiri nini wanafunzi wanaowakuta?
 
Unaandikia Gazeti Gani Isijekuwa Lile Lililosema Samia Hagombei
 
Nilifikiri huyo mtoto wa huyo kiongozi alirudi katika shule za serikali
Kilichosemewa hapa ni mtoto kusomeshwa na serikali baada ya ujauzito ndio tunacho pinga.
Wewe kama unataka mwanao asome huku anazaa haina tabu mpeleke private anapopata mimba unaongea na walimu wanamuwekea nafasi yake akimaliza kijifungua anarudi shuleni linawezekana mradi unalipa ada ya mwanao bila wasiwasi shule inahitaji pesa.
Ila kwenyeshule za serikali hatutaki wajawazito darasani
 
Kuna wengine wanataka elimu itolewe kwa lugha ya kiswahili kuanzia chekechea hadi chuo kikuu lakini wa kwao wanawapeleka English medium schools au nje ya nchi kabisa halafu ajira zikitangazwa moja ya kigezo inakuwa ni kujua kusoma na kuandika kwa ufasaha kwa lugha ya kiswahili na kiingereza,hawa watu washenzi sana.
 
Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali.

Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa kuzuia watoto wasirudi shule mwanaye wa kike alipata ujauzito kutoka kwa mwanafunzi aliyekuwa anasoma naye shule moja ya hadhi hapa nchini. Familia hizi mbili za binti na kijana wa kiume waliitana wakakaa kikao na agenda kuu zikiwa kufichiana aibu na kutochuliwa hatua za kisheria kwa mwanaume aliyehusika Kama sheria zinavyotaka. Lakini pia kuona namna ambavyo vijana Hawa wataendelea na masomo ambapo binti aliachishwa masomo bila shule husika kupewa sababu na kijana kuendelea na masomo bila shule husika kutambua kwamba amempa mwanafunzi ujauzito.

Miezi sita tu baada ya binti kujifungua wazazi wamemtaftia shule nje ya nchi kwa ajili ya kuendelea na masomo huku mjukuu akibaki kwenye malezi ya babu na Bibi. Kwa kuona haya na kwakuzingatia namna tulivyoaminishwa kuhusu elimu kwa watoto waliojifungua nikaona nilete mada hii kwa sababu kuu mbili

1. Kwanza wanasiasa na wasomi wetu pamoja na viongozi wa dini wajifunze kuwa wakweli, waadilifu na wanaosimamia haki kwa watu wote bila kujali tajiri na masikini au msomi na asiyesoma.

2. Wazazi ambao hatuna nyadhifa Wala madaraka tusisikilize serikali tukaacha kuwasaidia watoto wetu wa kike, wao wanajua namna yakuficha aibu na kuendelea kupigania maisha ya watoto wao bila kuzingatia ujauzito na kadhia nyingine. Hoja kwamba tuwaadhibu watoto wetu hazina mashiko Cha msingi tuangalie ustawi wa familia zetu. Hawa wtu waliosoma na wenye nyadhifa si kila Jambo wanalosimamia wanaliamini Bali baadhi ya mambo wanafanya kupata ujira wao.
Dah! Muoga wewe!! Sa ndo stori zag hata haina tetesi watu tukisie..aliyekua analaani hii kitu ni mwigulu ambaye watoto wake naona bado wadogo mwingine mama salma nakumbuka ndo alisimama bungeni akasema siyo vizuri mtoto kiruhusiwa abebe mimba..mwingine ni magu mwenyewe sasa hapa dah!
 
Back
Top Bottom