Tetesi: Kiongozi mwandamizi ajitolea kumtetea Mbowe mahakamani asema hata Mkapa alimtetea Profesa Mahalu pale ilipolazimu!

Kwani mimi nilikuwa naongelea watu wengine au chadema [emoji15][emoji15]mm sikusema watu wazuri au wabaya nilikuwa nawakumbusha chadema maonyo niliyo wapa baada tu ya kifo tata cha jpm ambayo waliyadharau ila leo yametokea kwao maana awakutaka kukubali kuwa wahuni ni wengi CCM sasa chadema inapambana na wahuni wa msoga
 
acha umalaya wa kisiasa ndugu, wajinga ukoo wako na familia yako, heshimu vyama wa watu wengine acha kuandika kwa uegemea upande wako.
Chadema hamna akili ya kupambana na WAHUNI WA CCM huo ndio ukweli.
 
Kama ni kupambana kwa damu muumbaji wa damu yupo atatulipizia kisasi kama alivyofanya.
Mbowe mwenyewe kakubali kuwa alimkosea jpm na lazima kuna siku atakwenda kwenye kaburi la jpm ...kama unabisha basi subiri utaona kwa macho ninayo kuambia
 
kina kibatala wakimkubalia huyo watakuw wajinga akifika kizimbani ataongea mengine kabisa
 
[emoji120]Haya bhana!

[emoji871]Mlipewa Sabaya na akachukuwa Mbowe.

[emoji871]Mmepewa mazungumzo, Mbowe amepata kesi ya kujibu.

[emoji871]Mama anajua kucheza na akili zenu.

[emoji871]Halafu muda kidogo huko mbele Sabaya atapata msamaha.
Kumbe NI mama anacheza na akili zetu? Umeweka wazi, kumbe siyo mahakama?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Hatujasahau mipango ya kulipa vituo vya mafuta, uchomaji wa masoko
 
braza kuwa na heshima na dhahabu Ya wana kusini,unafafnishaje ubongo wa huyo jamaa na kitu kizuri kama korosho?
Tuombe radhi tafadhali.
 
Unamzungumzia mkuchika[emoji848]
Ha ha ha.... Sio kwa utani Huu

Hawez thubutu huo upumbavu Maana Yuko anakula keki ya taifa Kama waziri mwanadamizi wizara maalum[emoji4]
 
Uchawi umekuzidi sasa wakurudia, unashambulia akili yako mwenyewe. Tiba yako ni kutubu na Kumrudia Mungu.
 
Principle
 
hv mnakumbuka enzi za magufuli na kesi ya chadema pale alivyosema mahakamani c kanisani kwenda kuimba kwaya.
Umechanganya files, hiyo ilikua siku gwajima kakamatwa pale central na wanakwaya wake wakaenda kuimba.
Ndio akawaambia hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…