Tetesi: Kiongozi mwandamizi ajitolea kumtetea Mbowe mahakamani asema hata Mkapa alimtetea Profesa Mahalu pale ilipolazimu!

Tetesi: Kiongozi mwandamizi ajitolea kumtetea Mbowe mahakamani asema hata Mkapa alimtetea Profesa Mahalu pale ilipolazimu!

Wewe ndiye lipumbavu. Unawezaje kusema Chadema wote walifurahia kufa kwa Magufuli? Hao wanaopangua mipango yake mizuri ya maendeleo ni CHADEMA? Hao wanaorejesha ufisadi wa jk, na kumnanga hadharani kwamba alikuwa anaharibu ni CHaDEMA? Kwanza ulifanya lini sensa na CHADEMA wote ukaona walifurahi?
Inaonekana ubongo wako ni mdogo kama mbegu ya korosho.
Kwani mimi nilikuwa naongelea watu wengine au chadema [emoji15][emoji15]mm sikusema watu wazuri au wabaya nilikuwa nawakumbusha chadema maonyo niliyo wapa baada tu ya kifo tata cha jpm ambayo waliyadharau ila leo yametokea kwao maana awakutaka kukubali kuwa wahuni ni wengi CCM sasa chadema inapambana na wahuni wa msoga
 
acha umalaya wa kisiasa ndugu, wajinga ukoo wako na familia yako, heshimu vyama wa watu wengine acha kuandika kwa uegemea upande wako.
Chadema hamna akili ya kupambana na WAHUNI WA CCM huo ndio ukweli.
 
Kama ni kupambana kwa damu muumbaji wa damu yupo atatulipizia kisasi kama alivyofanya.
Mbowe mwenyewe kakubali kuwa alimkosea jpm na lazima kuna siku atakwenda kwenye kaburi la jpm ...kama unabisha basi subiri utaona kwa macho ninayo kuambia
 
kina kibatala wakimkubalia huyo watakuw wajinga akifika kizimbani ataongea mengine kabisa
 
[emoji120]Haya bhana!

[emoji871]Mlipewa Sabaya na akachukuwa Mbowe.

[emoji871]Mmepewa mazungumzo, Mbowe amepata kesi ya kujibu.

[emoji871]Mama anajua kucheza na akili zenu.

[emoji871]Halafu muda kidogo huko mbele Sabaya atapata msamaha.
Kumbe NI mama anacheza na akili zetu? Umeweka wazi, kumbe siyo mahakama?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi mmoja mstaafu aliyehudumu katika awamu ya kwanza hadi ya nne na ambaye hayati Magufuli alisema Rekodi yake haitavunjwa amesema atamtetea Freeman Mbowe mahakamani endapo Peter Kibatala atatoa baraka zake.

Mstaafu huyo amesema anamjua Freeman na anaijua Chadema lakini pia anazijua fitna za Wanasiasa wenye ngozi nyeusi.

Mzee huyo amedai ilikuwa ngumu sana mzee Mkapa kumtetea Mahalu ila alipomaliza aliwapa wosia mzito.

Hatujasahau mipango ya kulipa vituo vya mafuta, uchomaji wa masoko
 
Wewe ndiye lipumbavu. Unawezaje kusema Chadema wote walifurahia kufa kwa Magufuli? Hao wanaopangua mipango yake mizuri ya maendeleo ni CHADEMA? Hao wanaorejesha ufisadi wa jk, na kumnanga hadharani kwamba alikuwa anaharibu ni CHaDEMA? Kwanza ulifanya lini sensa na CHADEMA wote ukaona walifurahi?
Inaonekana ubongo wako ni mdogo kama mbegu ya korosho.
braza kuwa na heshima na dhahabu Ya wana kusini,unafafnishaje ubongo wa huyo jamaa na kitu kizuri kama korosho?
Tuombe radhi tafadhali.
 
Unamzungumzia mkuchika[emoji848]
Ha ha ha.... Sio kwa utani Huu

Hawez thubutu huo upumbavu Maana Yuko anakula keki ya taifa Kama waziri mwanadamizi wizara maalum[emoji4]
 
[emoji871]Kina Adamoo walikwisha kamatwa na wako ndani wao na Bosi wa mipango yote Mbowe.

[emoji871]Nani tena angemdhuru Sabaya huko uraiani?

[emoji871]Kesi ya Sabaya ni mpango wa Mbowe na mkwe wake yule DPP Kweka.

[emoji871]Engineer wa yoote ni Hamduni.

[emoji871]Mmetuulia mama yetu Mghwira kwa Pressure ya njama za kumfunga Sabaya na kumchafua yeye kwa Samia

[emoji871]Wacha Mwamba nae ajue maana ya nipe nikupe.
Uchawi umekuzidi sasa wakurudia, unashambulia akili yako mwenyewe. Tiba yako ni kutubu na Kumrudia Mungu.
 
Principal moja kubwa sana ya maisha inayotakiwa kuzingatiwa na mtu yeyote yule anapokuwa anaishi mahali POPOTE PALE DUNIANI: Usjaribu kufanya kitu chochote kile ambacho kinaweza kuifanya SERIKALI ikaingia kazini. Usiipe kazi SERIKALI; bali iache SERIKALI yenyewe ikupe wewe kazi, kama itaona kuwa unafaa kupewa kazi
Principle
 
hv mnakumbuka enzi za magufuli na kesi ya chadema pale alivyosema mahakamani c kanisani kwenda kuimba kwaya.
Umechanganya files, hiyo ilikua siku gwajima kakamatwa pale central na wanakwaya wake wakaenda kuimba.
Ndio akawaambia hivyo
 
Back
Top Bottom