Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Kwani mimi nilikuwa naongelea watu wengine au chadema [emoji15][emoji15]mm sikusema watu wazuri au wabaya nilikuwa nawakumbusha chadema maonyo niliyo wapa baada tu ya kifo tata cha jpm ambayo waliyadharau ila leo yametokea kwao maana awakutaka kukubali kuwa wahuni ni wengi CCM sasa chadema inapambana na wahuni wa msogaWewe ndiye lipumbavu. Unawezaje kusema Chadema wote walifurahia kufa kwa Magufuli? Hao wanaopangua mipango yake mizuri ya maendeleo ni CHADEMA? Hao wanaorejesha ufisadi wa jk, na kumnanga hadharani kwamba alikuwa anaharibu ni CHaDEMA? Kwanza ulifanya lini sensa na CHADEMA wote ukaona walifurahi?
Inaonekana ubongo wako ni mdogo kama mbegu ya korosho.