Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Sijaona Taarifa hiyo ya Jeshi la America na mahali Israeli alipokiri hayo.
Nakubali kwamba inawezekana kabisa wapo Waplestina wanafiki ila ww ulisema Waarabu - Je, kila mwarabu ni Mpalestina?
We utaona wapi hukuona Wayahudi walivyo taka mpigilia msumari kwenye msalaba utaona haya.

 
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n jeshi la Israel (IDF[emoji1134]) iliyofanyika katika kambi ya wakimbizi Nuseirat iliyopp gaza mbayo imepelekea vifo vya wapalestina 210 na kuacha majerui 420, ambapo mateka 4 wa Israel waliokuwa wakishikiliwa na Hamas wefanikiwa kuokolewa.

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, inasemekana mwili M. Deif Upo mikononi mwa jeshi la Israel

Msemaji wa IDF alipoombwa kudhibitisha juu ya tukio hilo la kuuawa kwa M. Deif alikana taarifa hizo.

Mbona alishatangaziwa kuuawa zaidi ya mara mbili ??
 
Ni aibu mno aisee
Mmepoteza askari 10 mmoja ni officer wa special force kwa kupata matekwa 4 tena kwa kusaidiwa na America kutumia warabu wanafiki ndio mnajisifu, afu katika hao matekwa wanne, walikuwepo wengine wamekufa Israel kauwa matekwa wake wengine sa hu si ujinga[emoji1]
They have been liquidated in [emoji1134][emoji631] joint special military force massacre in Nuseirat camp-Gaza
IMG_20240609_061635.jpg
View attachment 3012352
 
Halafu eti wanajifanya sizi faya wahuni sana hawajamaa wako radhi Gaza nzima wafe kisa watu 120 mbwa hawa. Lakini nachowapendea Hamasi hii ngoma haitakwisha hivi hivi wakiisha mateka watachukua wengine na mzunguko utaendelea, hakuna amani kwenye chuma. Chuma dawa yake ni chuma.
This is what [emoji631] they're really doing in Israel ...
IMG_20240606_074358.jpg
 
Halafu eti wanajifanya sizi faya wahuni sana hawajamaa wako radhi Gaza nzima wafe kisa watu 120 mbwa hawa. Lakini nachowapendea Hamasi hii ngoma haitakwisha hivi hivi wakiisha mateka watachukua wengine na mzunguko utaendelea, hakuna amani kwenye chuma. Chuma dawa yake ni chuma.
Hii ndio michezo yenu tunayoifahamu violence kila kona kama kitabu chenu kitukufu kinavyohimiza
Myahudi aendelee kuwahisha wale wazee wa bikra 72 kwa mudi wakatafune vizuri huku wengine wakiendelea kutafuta sababu za nauli ya kwenda kula bikra kwa mudi kweli islam ni deen ya amani
 
Mtoa mada mwendawazimu ni wewe unaye muona Netanyahu mzima wa akili.

Afu Mohamed Al Dheif hata akifa ndio kitu gani wako wengine nyuma yake, afu hio naona ni ndoto kama mnaota vile 😄
Acheni ujinga nyie waisrael wa4 wameondoka na wapelestina 210. Endeleeni vichwa vyenu vigumu yaani mataisha kabisa
 
Yaani dini ianze miaka 1400 iliopita iwe ya kweli kuliko dini ilioanza miaka 2000
Nenda kawadanganye wenzako wa masjid shamfi marif

Wapi Yesu alisema Ukristo ni dini , usilete povu toa aya
 
Back
Top Bottom