Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
We utaona wapi hukuona Wayahudi walivyo taka mpigilia msumari kwenye msalaba utaona haya.Sijaona Taarifa hiyo ya Jeshi la America na mahali Israeli alipokiri hayo.
Nakubali kwamba inawezekana kabisa wapo Waplestina wanafiki ila ww ulisema Waarabu - Je, kila mwarabu ni Mpalestina?
US aided Israel in Gaza hostages rescue, US official tells CNN
4 hostages held by Hamas recovered in good health by Israeli army - Anadolu Ajansı