Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
Apone haraka arejee uwanja wa mapambano ili mkoloni mweusi aondoke.
Aisee ,akiondoka itakuwa furaha sana kwa walio wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apone haraka arejee uwanja wa mapambano ili mkoloni mweusi aondoke.
Lenye pacemaker nasikia liko mochuaryAmepona? BTW sijaisoma habari, ...
Mkuu zisi izi noti fea,aksidenti ni aksidenti tu,keni hapeni tu anewani....ikrudingi JPM.....letasi bi humani elitobiti.....Accident or no accident JPM will retain his position as the commander in chief of the armed forces
Kwa Jina la Yesu naachilia damu yake impe uponyaji.Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi kufuata baadaye.
View attachment 1592132
lione hili li jini la ccmIla niliwahi sikia mahali kuna mwanasiasa kila akifuatwa kukamatwa anageuka bahari.
Mkuu, ni swala la kuhudhunisha, wewe unataka tucheke tena, daah!!😂Hajageuka dimbwi?