Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

Lissu mjanja anapiga kampeni kwenye barabara za lami tu, vumbi hakanyagi kabisa
 
Meko hatoboi awamu hii. Hatumtaki raid asiyejua kutofautisha "r" na "l" kwenye matamshi yake.
Wewe uliyetoboa upo wapi ... ... .JF khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, mwenye kurehemu, amnusuru shujaa wetu na kila balaa na amjaalie uponaji wa haraka arejee salama mtaani na kuendeleza mapambano ya kumg'oa "mkoloni mweusi".
 
06 October 2020

Breaking news

ACT-Wazalendo kukodi ndege kumpeleka Zitto Kabwe hospitali kubwa Dar es Salaam
Naibu katibu Mkuu wa chama (bara) Joram Bashange anapenda kutoa taarifa fupi kwa umma kufuatia ajali ya msafara uliokuwa ukiongozwa na Kiongozi Mkuu wa ACT WAZALENDO mkoani Kigoma, Tanzania

 
Kituo gani cha afya wakati kasema hakuna alichofanya Magufuli kwa Kigoma? Haya mambo mengine huwatokea wanadamu ili tu kuwakumbusha wajibu wao kwa M/Mungu. (Kushuhudia wenzio uongo).
Hata hospitali za wakoloni bado ziko ikiwa ni pamoja na Muhimbili iliyojengwa kabla ya kuzaliwa Magufuli na iliyobadilishwa jina tu. Zahanati na Vituo vya Afya vimejengwa kwa nguvu za wananchi wa maeneo husika.
 
Back
Top Bottom