Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

Pole kamanda, Recover soon - kazi mmeshaimaliza hii.
 
Kituo gani cha afya wakati kasema hakuna alichofanya Magufuli kwa Kigoma? Haya mambo mengine huwatokea wanadamu ili tu kuwakumbusha wajibu wao kwa M/Mungu. (Kushuhudia wenzio uongo).
Hoja nyingine bhana, Kwani Zitto hakatwi kodi?
 
Muhidhir Muhidhir hajasahau tuu bado anatafuta kulipiza kisasi?
 
Kituo gani cha afya wakati kasema hakuna alichofanya Magufuli kwa Kigoma? Haya mambo mengine huwatokea wanadamu ili tu kuwakumbusha wajibu wao kwa M/Mungu. (Kushuhudia wenzio uongo).
Magufuli hizo pesa anatoa wapi?, ifike wakati watu muwe na uelewa Mtu anayekusanya Kodi ili kuhakikisha huduma zinasambazwa kila kona...., kufanya kwake chochote sio msaada wala huruma bali ni wajibu....
 
Kuna chanjo ya magonjwa ya moyo? Leo kwake kesho kwako. Weka akiba ya maneno. Mcheke mtu mfupi, usimcheke kilema wala mgonjwa. Mwenyezi Mungu ni wa watu wote.
hayo ya kwako, Ben yuko wapi? Azory? achana na mambo ya kishamba , huyo Mungu hayo hayaoni? mbona anampa mtu kuua watu
 
Back
Top Bottom