Kiongozi wa chama kikuu cha Upinzani, Freeman Mbowe ametengwa au amejitenga?

Mbowe anaongoza Kampuni sio chama cha siasa. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
“Katimba”.....kutimba maana yake nini? Hichi ni kiswahili au ???
 
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.

Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo mh Mbatia katimba Ikulu.

Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.

Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
The strongest man stands alone.Move on F.Mbowe!
 
Mbowe anaongoza Kampuni sio chama cha siasa. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwani lazima viongozi wote waende ikulu siku moja? Hoja za kitoto sana...mbona mwanza wakati Wa sherehe za Uhuru wote walikutana? Kwa sasa mbowe yuko jimboni kwake..
 
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.

Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo mh Mbatia katimba Ikulu.

Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.

Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Itifaki imezingatiwa. Kwani wakati wa sherehe za kitaifa nani wa mwisho kuingia uwanjani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kumbe unajuaa Chadema ni chama kikuu cha upinzani halafu bado unauliza kwanini rais anaogopa kukutana nae.
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.

Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo mh Mbatia katimba Ikulu.

Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.

Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.

Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo mh Mbatia katimba Ikulu.

Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.

Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!

Mbowe ni Michael Jordan of this game!

Usiwafananishe na hao kuku wa kitoweo mzee!
 
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.

Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo mh Mbatia katimba Ikulu.

Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.

Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Nadhani huenda jibu sahihi likawa muda wa kuwachekea wasiopenda haki na wenye kucheza na maisha ya watanzania umeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja watangulie wasafishe njia kwanza, mbingiri zitakapoisha njiani,na Mbowe naye atakwenda kumaliza kazi ya kusawazisha.
 
Kwa hiyo mkuu unataka Mbowe atinge hapa? Wewe siyo mnafiki?
Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg
 
Back
Top Bottom