john mapinduzi
Member
- Feb 25, 2009
- 99
- 17
yeye ataenda lini?Hapana anasubiria nafasi yake peke yake angeenda jana siwangejazana wakati yeye Mbowe ndo Mkiti wa chama kikuu cha upinzani
Naunga mkono kwa Mbowe kutokwenda kwa huyo ibl.sTangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.
Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo mh Mbatia katimba Ikulu.
Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.
Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe unaonaje ?Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.
Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo mh Mbatia katimba Ikulu.
Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.
Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Mpumb.avu mkubwa wewe, mnajitekenya na kucheka wenyewe, kule Ikulu ya Mwanza waloenda siku ya uhuru ilikuwa misukule enh? akina Mbatia walikuepo? Rais hajaalika watu, wao ndo waliomba na akaridhia kama alivyofanya kwa hizo naniliu zenu kule Mwanza, ndo maana mwaambiwa nyie ni MIBINAFSI.