Kiongozi wa chama kikuu cha Upinzani, Freeman Mbowe ametengwa au amejitenga?

`Mimi nadhani kuwa busara ingetumika wakaitwa wote kwa pamoja kwenye kikao kuliko kumuita mmoja mmoja kwa wakati wake. Mwenyekiti wa Chadema alikuwa pia ni mtu muhimu kwenye mwaliko huo.
 
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.

Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo mh Mbatia katimba Ikulu.

Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.

Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Tabia zake mbaya

Wanatosha walio mwakirisha.
 
MBOWE KAZA BUTI!💥
Hata ukibaki peke yako, daima utabaki kuwa mnara wetu wa matumaini na UJASIRI!
👊✌✌✌💥
 
Kashi kashi gani bwashee?!

We umgeni katika nji hii? Magufuli anaiona CHADEMA Kama tishio kubwa kwa Utawala wake.
1. Mbowe ana kesi fake Mahakamani ya mauaji ya Acqulina Akwilina!
2. Wabunge wore wa CHADEMA Wana kesi fake Mahakamani kwa makosa ya kutengenezwa.
3. Tundu Lissu aliyekuwa Mbunge(CHADEMA) wa Singida East alikoswakoswa na risasi zaidi ya 30 katika juhudi za kumwua na sasa Yuko ukumbizini.
4. Majiji yote yalikuwa chini ya CHADEMA yanahujumiwa kila kukicha katika juhudi za kuimaliza CHADEMA...!
5. n.k. na n.k.
 
Akiwaita kwa pamoja atashindwa kuwapanga.divide and rule inatumika hapa.
`Mimi nadhani kuwa busara ingetumika wakaitwa wote kwa pamoja kwenye kikao kuliko kumuita mmoja mmoja kwa wakati wake. Mwenyekiti wa Chadema alikuwa pia ni mtu muhimu kwenye mwaliko huo.
 
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.

Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo mh Mbatia katimba Ikulu.

Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.

Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Huyo alishaonana naye Ikulu ndogo ya Mwanza kitambo. Walikodiwa ndege pia na Magufuli. Hakuna mjanja kwa mzee baba Al watan Meko
 
Tatizo lipo kwa Rais Magufuli. Mbowe ndiye aliyetoa wito mara mbili kwa Rais. Lakini Rais anaamua akutane na wale wenye impact ndogo kuliko kukutana na CHADEMA, chama ambacho kimsingi ndiye mshindani mkuu wa CCM.

Nadhani kuna chuki binafsi, ukabila na guilty consciousness. Lakini bila kukutana na uongozi wa CHADEMA, yote itaonekana ni unafiki, na hakuna dhamira ya kweli. Lakini nina mategemeo atakutana naye mwishoni kabisa. Ameanza na wadogo kwanza.
Kingine Mkuu hivi sasa joto la Jiwe limepanda hasa baada ya kutopata alichokitegemea kwa kujaribu kudhoofisha Upinzani kwa kutumia madaraka yake pamoja na Mihimili mingine.

Ndani ya Serikali yake pamoja na chama chake amekuwa akiwaongeza maadui kila kukicha. Hii ina maana aliyowatehemea wanazidi kupunguza nguvu ktk kumtetea.

Tumaini lake kuu hivi sasa ni kutafuta uungwaji mkono na baadhi ya Wapinzani. Kwani Image yake Kitaifa na Kimataifa imepoteza mvuto kwa ubaguzi wake.

Haya afanyayo hivi sasa ni maigizo tu ili kuihadaa Dunia kuwa Yeye na Watz wenzie ni wamoja. Hata awaite kina nani Ikulu haitasaidia kumsafisha juu ya dhuluma walizotendewa Wapinzani na Raia wengine chini ya Itawala wake mf mzuri ni Mh Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kumwita Mbowe lazima ajiandae mno ndugu maana anajua jamaa ataibua mada ngumu kuzijibu,

Hivi unadhani akimuuliza uchunguzi wa Lissu umefikia wapi? Unadhani Jiwe atajibu nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.

Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.

Leo mh Mbatia katimba Ikulu.

Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.

Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Mbowe siyo mnafiki kama hao wengine ni mtu makini
 
kwanza hawajaalikwa wameomba kukutana naye sio mualiko
 
Ccm wakipora jimbo la Hai Hai itageuka na kua km chato
 
Back
Top Bottom