johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #21
Ras Simba siyo mchezo........hongera!I am comfortable with this.
Takataka.Ras Simba siyo mchezo........hongera!
The strongest man stands alone.Move on F.Mbowe!Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.
Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo mh Mbatia katimba Ikulu.
Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.
Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani lazima viongozi wote waende ikulu siku moja? Hoja za kitoto sana...mbona mwanza wakati Wa sherehe za Uhuru wote walikutana? Kwa sasa mbowe yuko jimboni kwake..Mbowe anaongoza Kampuni sio chama cha siasa. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Be specific, unaongelea Mbowe mbunge au Mbowe KUB? Huyu KUB ni tishio kubwa sana kwa Magufuli na serikali yake na wanamuogopa maana mbinu zote za kumfanya aogope zimekwama.Ikulu imuogope mbunge?!!
Itifaki imezingatiwa. Kwani wakati wa sherehe za kitaifa nani wa mwisho kuingia uwanjani?Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.
Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo mh Mbatia katimba Ikulu.
Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.
Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.

Nadhani huenda jibu sahihi likawa muda wa kuwachekea wasiopenda haki na wenye kucheza na maisha ya watanzania umeishaTangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.
Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo mh Mbatia katimba Ikulu.
Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.
Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Swali la kipumbavu kwa mtu mjinga kama weweKashi kashi gani bwashee?!