johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #61
Au zamu yake yuko na Dovutwa na yule mzee Hashim Spunda Rungwe!Hapana anasubiria nafasi yake peke yake angeenda jana siwangejazana wakati yeye Mbowe ndo Mkiti wa chama kikuu cha upinzani
Kilichosababisha mikutano ya kisiasa ikapigwa marufuku unakijua? Au unadhani ni CCM wenyewe wanawaogopa upinzani, kwa hiyo wamezuia mikutano ili washinde tena?Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.
Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo mh Mbatia katimba Ikulu.
Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.
Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Mikutano ilizuiwa kwa sababu ya Lowassa siyo bwashee Mbowe!Kilichosababisha mikutano ya kisiasa ikapigwa marufuku unakijua? Au unadhani ni CCM wenyewe wanawaogopa upinzani, kwa hiyo wamezuia mikutano ili washinde tena?
Halafu kitu kingine ni hivi: hivi ilikuwa inawezekana akawaalika wote kwa mkupuo kwa siku moja? Bado akina Mrema, Dovutwa, Cheyo, .....Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.
Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo mh Mbatia katimba Ikulu.
Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.
Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa Lowassa si tayari alisharudi CCM, kwa nini zuio hilo bado lipo? Jaribu kuwa unachunguza na kuangalia matukio kwa makini ili isije ikatokea siku moja kwa bahati mbaya, ukawalaumu watu kwenye jambo ambalo hukustahili kuwalaumu!Mikutano ilizuiwa kwa sababu ya Lowassa siyo bwashee Mbowe!
Hii Nchi mimi nilishasema kuwa kama kuna siku moja kutakuja kuwa na radhi ya Mungu, kwa kweli mimi simo, Mungu ananiona. Endeleeni tu kuchonganisha, wakati kuna vyama almost vinamilikiwa na watu halafu hilo hamulioni. Chama kinakuwa na mwenyekiti mmoja anaweza akafikisha hata nusu karne!Tatizo lipo kwa Rais Magufuli. Mbowe ndiye aliyetoa wito mara mbili kwa Rais. Lakini Rais anaamua akutane na wale wenye impact ndogo kuliko kukutana na CHADEMA, chama ambacho kimsingi ndiye mshindani mkuu wa CCM.
Nadhani kuna chuki binafsi, ukabila na guilty consciousness. Lakini bila kukutana na uongozi wa CHADEMA, yote itaonekana ni unafiki, na hakuna dhamira ya kweli. Lakini nina mategemeo atakutana naye mwishoni kabisa. Ameanza na wadogo kwanza.
Hao wote waliotinga ikulu ni watumishi wa tissTangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.
Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo mh Mbatia katimba Ikulu.
Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.
Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Always complaints, no hoja. Ukishakuwa na hoja halafu ukaitoa kwa lugha ya kulalamika, huwa inamaliza nguvu. Huwa inamgeuza mtoa hoja kuwa kama anahitaji msaada wa kusaidiwa. Kawaida hoja huwa inalenga kutoa msaada kwa mpewa hoja, na si hoja igeuke kuonyesha kuwa mtoa hoja ndiye anayehitaji msaada!Ili kumwita Mbowe lazima ajiandae mno ndugu maana anajua jamaa ataibua mada ngumu kuzijibu,
Hivi unadhani akimuuliza uchunguzi wa Lissu umefikia wapi? Unadhani Jiwe atajibu nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
TISS ina-include watanzania wote million 55, sema labda hao unaowasema wewe ndiyo baadhi ya walioko kwenye payroll!Hao wote waliotinga ikulu ni watumishi wa tiss
Mbowe ni mtumishi wa wapi?Hao wote waliotinga ikulu ni watumishi wa tiss
Mkuu ikulu akisikia jina la Mbowe, akili zinamruka, presha inapanda, mavi yanamgonga chupi.Ikulu imuogope mbunge?!!
Sidhani kama Taasisi kubwa kuliko zote hapa nchini au Kiongozi wake Kwa maana ya Rais inaweza kuogopa individuals au kakikundi Ka watu..Hawauogopi ubunge Bali wanamwogopa MBOWE. Fahamu kuwa hata akiacha ubunge atabaki kuwa mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahah! Umeisahau tabia ya nyumbu bwasheee!!? Wanasahau haraka sana! Ahahahahahha! Msalimie Mzee Mgaya. Mwambie tumemmiss!Kumbe bado upo?
Wasalimie na sengerema!
Hahahaaaa........mzee Mgaya yuko Mbeya kwa mwaliko wa Tulia Trust!Ahahahahahah! Umeisahau tabia ya nyumbu bwasheee!!? Wanasahau haraka sana! Ahahahahahha! Msalimie Mzee Mgaya. Mwambie tumemmiss!
Acha upotoshaji .Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.
Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo mh Mbatia katimba Ikulu.
Mzee Lowassa akiwa Chadema aliwahi kutimba Ikulu.
Ndiposa najiuliza kwanini mh Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani hajawahi kwenda Ikulu?........ Je, hapati mwaliko au hatoi ushirikiano?
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Kumbe!Acha upotoshaji .
Mbowe alivyotoka gerezani alienda Ikulu ..na Rais alionana na baadhi ya Viongozi wa vyama vya siasa ...Halafu sio lazima wote waende siku moja..kwa sababu hiyo siku Mbowe alivyoenda Lipumba hakwenda mbona haukohoji..
Tafuta taarifa nyinginee .