Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Uchifu ni mzuri, leo tumemshuhudia Chifu Angaya akisimikwa na Chifu wa lile kabila kubwa kuliko makabila yote ambalo mfumo wa kabila hilo ni patrilinia, hivyo walidharau sana wanawake, lakini kufuatia leo kutangazwa kwa Chief Angaya, huu sasa ndio mwisho wa kabila hilo kudharau wanawake, na kuanzia leo wanatawaliwa na wanawake na wako chini ya mwanamke.Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Raisi Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
P