JORAM LUKAS
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 142
- 70
Iko hivi, mkizaliwa wewe na dada yako,basi possibility ya chifu ajaye kutoka kwa mtoto wa kiume ilikuwa haipo. Sababu ilikuwa rahisi tu kwamba mtoto wa uhakika (related to chief's family 100%) ni yule aliyezaliwa na mtoto wa kike.hapa sielewei hebu nifafanulie wasukuma ni patrilineal na wanadharau wanawake sasa inakuwaje kabila linalodharau wanawake kisha linatumia salamu na utambuzi kama eminza egw`ashi nk ambayo ni majina ya wanawake hii ilitokana na nini?
Hii nadhani ni fact. So long as watoto wa wake zetu hatujawahi kuwapima DNA basi inapaswa watambulike kama watoto tunaoishi nao tu. Hakuna uhakika kwamba ni wanetu