Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Uchifu ni mzuri, leo tumemshuhudia Chifu Angaya akisimikwa na Chifu wa lile kabila kubwa kuliko makabila yote ambalo mfumo wa kabila hilo ni patrilinia, hivyo walidharau sana wanawake, lakini kufuatia leo kutangazwa kwa Chief Angaya, huu sasa ndio mwisho wa kabila hilo kudharau wanawake, na kuanzia leo wanatawaliwa na wanawake na wako chini ya mwanamke.Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Raisi Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
Huwezi kuwa chief kama wewe sio gwijiDah! Uchifu ni uchawi..kweli asiye jua maana haambiwi maana....mkataa kwao ni mtumwa!
Uchifu ni kurudisha nyuma ukabila kwa mlongowa nyuma.Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Raisi Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
Hao washirikina wapambane na hali zao,tulishatoka huko.Bora kuliko hawa machifu wa CCM asee
Toka koo za watemi wa Mzizima. Wapo wenyewe. Sio makada wa chama. Subiri ruksa itoke, utamfahamu.Mfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
Hawa madc na marc wao wanafaida gani?Hao washirikina wapambane na hali zao,tulishatoka huko.
Ukisikia neno wazee wa mji,au machief hizo number acha.
Huwezi pewa uchief au kuitwa mzee kama wewe sio gwiji kwenye fani ya ndumba.
Chief na mzee ni vyeo vikubwa Sana kwenye ulimwengu wa giza.
Haya mambo ndo yametufunga kutosonga haya mambo yanapingana na technology yanapingana na maendeleo,haya mambo na umasikini ni pacha.
Uko sahihi mkuuHao washirikina wapambane na hali zao,tulishatoka huko.
Ukisikia neno wazee wa mji,au machief hizo number acha.
Huwezi pewa uchief au kuitwa mzee kama wewe sio gwiji kwenye fani ya ndumba.
Chief na mzee ni vyeo vikubwa Sana kwenye ulimwengu wa giza.
Haya mambo ndo yametufunga kutosonga haya mambo yanapingana na technology yanapingana na maendeleo,haya mambo na umasikini ni pacha.
UushenziKiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Raisi Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
CCM haina brains tena za kuongoza nchi hii.Uchifu ubaki symbolic, akiufufua itakuwa tabu. Loyalty ya watu itakuwa kwao kuliko hata kwa mifumo ya serikali
Somebody amuambie rais kuwa Amani na Utaifa uliojengwa na Nyerere ulitokana na kuvunjilia mbali vitu kama uchifu.
Samia akivirudisha vitatuzingua sana
hapa sielewei hebu nifafanulie wasukuma ni patrilineal na wanadharau wanawake sasa inakuwaje kabila linalodharau wanawake kisha linatumia salamu na utambuzi kama eminza egw`ashi nk ambayo ni majina ya wanawake hii ilitokana na nini?Uchifu ni mzuri, leo tumemshuhudia Chifu Angaya akisimikwa na Chifu wa lile kabila kubwa kuliko makabila yote ambalo mfumo wa kabila hilo ni patrilinia, hivyo walidharau sana wanawake, lakini kufuatia leo kutangazwa kwa Chief Angaya, huu sasa ndio mwisho wa kabila hilo kudharau wanawake, na kuanzia leo wanatawaliwa na wanawake na wako chini ya mwanamke.
P
Dah! Uchifu ni uchawi..kweli asiye jua maana haambiwi maana....mkataa kwao ni mtumwa!
Sidhani Kama tutarudi kwenye utawala wa machifu, bali machifu wataendelea kuwepo Kama ceremonial leaders kwenye jamii zetu. kuwatambua Machifu siyo kuwapa Authority ya kutawala bali ni kutambua mchango wao katika ustawi wa mila na desturi za jamii zetu.Namsikiliza huyu Rais amekubali ombi lao na amesema anaandaa kikao akutane na mchifu Tanzania nzima [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Amesema pia anandaa na tamasha la machifu Tz, watashindania kombe linaloitwa Hangaya, ambalo ni Jina la Kisukuma alilopewa Samia likimaanisha nyota
Huyu mama nilidhani kwa kuwa ni mzanzibari (Mswahili) hataendeleza haya mambo ya ukabila, kumbe sikuwa sahihi
"Waweza kuta jamaa ndiye mchawi kweli kweli" In kikwete's voice.Dah! Uchifu ni uchawi..kweli asiye jua maana haambiwi maana....mkataa kwao ni mtumwa!
Mkuu tupe nondo kidogo!Mfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
Kwa ajili ya mtu yule anaweza kukubali kurudisha uchifu! Akili zingine bwana utafikri wamejaza kamasi kwenye kichwa badala ya ubongo!Namsikiliza huyu Rais amekubali ombi lao na amesema anaandaa kikao akutane na mchifu Tanzania nzima 🤣 🤣 🤣 🤣🤣
Acha ujinga ,Dah! Uchifu ni uchawi..kweli asiye jua maana haambiwi maana....mkataa kwao ni mtumwa!
Inasikitisha sanaUchifu ni mzuri, leo tumemshuhudia Chifu Angaya akisimikwa na Chifu wa lile kabila kubwa kuliko makabila yote ambalo mfumo wa kabila hilo ni patrilinia, hivyo walidharau sana wanawake, lakini kufuatia leo kutangazwa kwa Chief Angaya, huu sasa ndio mwisho wa kabila hilo kudharau wanawake, na kuanzia leo wanatawaliwa na wanawake na wako chini ya mwanamke.
P