JORAM LUKAS
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 142
- 70
Iko hivi, mkizaliwa wewe na dada yako,basi possibility ya chifu ajaye kutoka kwa mtoto wa kiume ilikuwa haipo. Sababu ilikuwa rahisi tu kwamba mtoto wa uhakika (related to chief's family 100%) ni yule aliyezaliwa na mtoto wa kike.hapa sielewei hebu nifafanulie wasukuma ni patrilineal na wanadharau wanawake sasa inakuwaje kabila linalodharau wanawake kisha linatumia salamu na utambuzi kama eminza egw`ashi nk ambayo ni majina ya wanawake hii ilitokana na nini?
Mwanamalundi hakuwa chifuWanataka kumrudisha chifu mwanamalunde? mkikosa kuni anakausha mti kwa kidole...
Waunde baraza la senate, litakalojikita kuamua masuala mazito ya kitaifa pale Bunge linapopwaya kama sasa.Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
Paschal wasukuma waliwahi kuwa na chief wa kike aliitwa Ngolo,Uchifu ni mzuri, leo tumemshuhudia Chifu Angaya akisimikwa na Chifu wa lile kabila kubwa kuliko makabila yote ambalo mfumo wa kabila hilo ni patrilinia, hivyo walidharau sana wanawake, lakini kufuatia leo kutangazwa kwa Chief Angaya, huu sasa ndio mwisho wa kabila hilo kudharau wanawake, na kuanzia leo wanatawaliwa na wanawake na wako chini ya mwanamke.
P
Washabiki wa vizazi vya malkia UK..Dah! Uchifu ni uchawi..kweli asiye jua maana haambiwi maana....mkataa kwao ni mtumwa!
Kuna huyu chifu kakiweka chama pia matataniKIROHO KWA MAMA KAMA MKUU WA NCHI KUKUBALI KUKALISHWA VIGODANI NA MACHIFU NA WAGANGA, NCHI IMEINGIA KWENYE SHIDA KUBWA SANA. LAKINI ITALETA UKABILA, UKANDA NA TUNARUDI NYUMA MNO. SIJUI AKILI YA MAMA INATAKA KU ACHIEVE NINI KUKUBALI KILA JAMBO. TUNALO TATIZO TULIPO NA TUENDAKO. KUONGOZWA KI RAMLI NI KURUDI NYUMA WAKATI DUNIA INAENDA MBELE KISAYANSI. MUNGU INGILIA KATI TENA!
Zumbe wa Kizaramo wapo. Dar ni ya wazaramo. Wasukuma kujazana Dsm hakuwafanyi kuwa wenye nchi ya DarMfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
Tuwachane na hii kitu. Ilikuaga mwanzo wa ukabila kuna watu wanajaribu kurudisha. Tusifikiri itakua na matokeo bora. Uchifu ulifutwa kama sehemu rasmi ya mfumo wa utawala tanzania. Ni bora ikaendelea kubakia hivyo.Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
Waondolewe hao RCs na DCs tubaki na machifu
Waha Chief wao aliitwa Mwami Theresa Ntare (1922 - 1999)Hivi ni Kabila Gani Lilishawahi kuwa Na Chief Mwanamke Hapa Bongo?
Atakuwa mzaramoMfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
Kama Ni kweli huyu Mama nae azinguliwe maana kaanza kutuzingua.Namsikiliza huyu Rais amekubali ombi lao na amesema anaandaa kikao akutane na mchifu Tanzania nzima [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
na shria zake hazipitishwi na Bunge, na hakuna wawakilishi bali mtoto anakuwa chifuNchi ya machifu kila jimbo na chifu wake na sheria zake.
Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?