4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
ASEME KWANZA why Mwalim aliona hapakua na tija ,leo yeye 2021 anaona tija ipo mpaka warudishwe?Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
Mfano mkoa kama Dar chifu atatoka kabila lipi?
Kama Uingereza kwasasa hamna mambo ya Queen wala King..Nyerere hii moja ya mbinu chafu aliwai kufanya...alikua kua machifu watakua na nguvu kuliko yeye..Pia alifanya hivyo ili kuepuka kuzalisha uhasiKatika vitu ambavyo Nyerere alitumia akili sana ni kuvunjilia mbali uchifu, wangetuvuruga kwa ukabila na hivyo project ya kujenga utaifa kufeli
Wachawi hujuana bure wa hedi wewe mchawi koko.Ni ujinga kuwasikiliza hao wachawi
Zumbe wa Kizaramo wapo. Dar ni ya wazaramo. Wasukuma kujazana Dsm hakuwafanyi kuwa wenye nchi ya Dar
Hamna sehemu isiyo na wenyewe. Makaburu wa Africa kusini nao huwa wanadai ile nchi haikuwa na wenyewe. Usichojua hadi mwaka 1973 Dar es Salaam ilikuwa sehemu ya mkoa mkoa wa Pwani unaouzungumziaDar hainaga mwenyewe au tuseme ni ya wote!
Kwa asili mzaramo ni mkoa wa Pwani.
Maeneo maalum ya Zaramo ni kama vile Msanga, Manerumango, kisiju, Cholesangula, Mvuti, Mkuranga kidogo na Bagamoyo kidogo.
Hayo maeneo yote nilokutajia yapo Mkoa wa Pwani tangu Uhuru!
Alafu watake kusujudiwa ukikaidi unatupiwa mizimu feki aka ulonzi sio!?Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
Ndiyo huyu hapa?Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza
Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
sawaMkoa wa Pwani
Wachawi?Waondolewe hao RCs na DCs tubaki na machifu
YesWachawi?