Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

The government of United Republic of Tanzania has failed in its assassination attempt to eliminate Ulimboka.
Agizo lilitoka katika ofisi ya Waziri Mkuu, ila kaangushwa na aliowapa kazi.
 
Watanzania hapa inatubidi tuamke na tukatae uonevu huu,yote hii ni kutaka wale wao tena wale kwa ufisadi,wale kwa dhuluma,wale kwa wizi,wale kwa unyang'anyi na kisha waache kwa lugha ya kwamba wanafanyiwa uchunguzi na mwisho wa siku wanaendelea kuwa viongozi ndani ya nchi hii,hivi kweli dr Ulimboka ndio wamemfanya hivi?kweli wamemchakaza kiasi hiki,kosa ni kutetea haki,kupigania haki.kweli hapa kuna haja ya kutaka ufanfanuzi wa kauli ya Pinda,atakuwa anajua alikuwa na maana gani.hii ni serikali ya dikteta,serikali kandamizi,serikali ya kinyonyaji,kweli tumafikia hapa?mi nadhani kuna haja ya kujiandaa watanzania wote,na tuondoe woga ili tukatae unyonyaji huu.
Pole sana mpigania haki,mtetezi wa wanyonge na Mungu akuponye haraka
 

Uwe unafikiri kwanza kabla ya kulopoka.
 
Mkuu unapoweka updates za picha kama hizi bila maelezo tunakuwa hatuelewi...
 
Mkuu wangu coby, ....Na wengine wanaweza kutaka kutoa ujumbe kwa Ulimboka na wenzake waone uchungu wa kuuguliwa....! Wahenga wanasema, ukitaka kujua kifo kachungulie kaburi!
Acha nadharia zako bana... ukweli hata wewe uaujua unataka tu kujifaragua...
 
Dah! Pole sana Dr Ulimboka! I pray that whoever is responsible for this, is arrested and punished accordingly!
Mkuu Saragosa nani atamu-arrest nani wakati mwenye kum -arrest ndio katekeleza unyama huu?labda wawe arrested kwa nguvu ya umma.lakini hakuna kitu kitakachofanyika maana hao hao ndio wahusika na for sure hatuna haja ya kupindisha hili serikali watapashwa kuwajibika kwa unyama huu
 
Hii ni hatari sana, lazima mtoto wa mkulima atueleze kauli yake "NA LIWALO NA LIWE" ilikuwa na maana gani!

Jamani je hii ndio tafsiri ya kauli ya Mizengo Pinda "Liwalo na Liwe" tumefika pabaya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
JK a.k.a Dhaifu, Pinda na serikali dhaifu na ya kipuuzi mkajipange kwa mapigano yasiyo na kikomo kwa msiyemuona wala kumjua
 
ngumu kuamini kama kweli this is how low the govt has decided to stoop.....shame on u viongozi dhaifu na wanaowasupport....2015 is coming and be sure of this...am not votin for u
 
Pinda kasema liwalo na liwe kumbe ndo hili kutesa watu!! shame on Pinda
 

mkuu nimekusoma, lakini piga ua garagaza lazma serikali iwajibike kwa hili.
 

Duh! Maskini ya Mungu!!! Hii Serikali ya wauaji...Inatisha sana. Halafu watu wanasema tutumie majina yetu ya kweli hapa JF!!! Mnaona jinsi Serikali hii inavyoweza kabisa kumaliza uhai wako kwa kuandika ukweli jinsi ambavyo imeshindwa kukidhi matumaini mbali mbali ya Watanzania...Sasa kila atakayeipinga ajue maisha yake yako hatarini anaweza kabisa kukolimbwa!!! Pole sana Ulimboka na madaktari wengine wote kwa tukio hili la kusikitisha na kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…