Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna ushahidi gani kama ametekwa na serikali? mbona great thinkers tunakimbilia kuhukumu kabla ya uthibitisho wa kumjua aliyemteka? mm nadhani hiyo ni mbinu ya madokta kuupa attention huu mgomo wao wa sasa hivi maana hauna attention kwenye media kama ile iliyotangulia!
Acha nadharia zako bana... ukweli hata wewe uaujua unataka tu kujifaragua...Mkuu wangu coby, ....Na wengine wanaweza kutaka kutoa ujumbe kwa Ulimboka na wenzake waone uchungu wa kuuguliwa....! Wahenga wanasema, ukitaka kujua kifo kachungulie kaburi!
Mkuu Saragosa nani atamu-arrest nani wakati mwenye kum -arrest ndio katekeleza unyama huu?labda wawe arrested kwa nguvu ya umma.lakini hakuna kitu kitakachofanyika maana hao hao ndio wahusika na for sure hatuna haja ya kupindisha hili serikali watapashwa kuwajibika kwa unyama huuDah! Pole sana Dr Ulimboka! I pray that whoever is responsible for this, is arrested and punished accordingly!
Hii ni hatari sana, lazima mtoto wa mkulima atueleze kauli yake "NA LIWALO NA LIWE" ilikuwa na maana gani!
View attachment 57576 Picha hii nimeipata tweeter:
11mEast Africa TV ‏@eastafricatv
#HaliYaDrUlimboka Hivi ndivyo Dr Ulimboka alivyokutwa na LHRC baada ya kuchukuliwa kutoka kituo cha polisi Bunju. http://pic.twitter.com/VTmC9iyp
sidhani kama kikwete atamaliza mda wake, inabidi apewe ulinzi mkali mana anaweza kujinyonga!
Mkuu Saragosa nani atamu-arrest nani wakati mwenye kum -arrest ndio katekeleza unyama huu?labda wawe arrested kwa nguvu ya umma.lakini hakuna kitu kitakachofanyika maana hao hao ndio wahusika na for sure hatuna haja ya kupindisha hili serikali watapashwa kuwajibika kwa unyama huu
![]()
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.
Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).
UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!
Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.