Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Waliomteka ni watu wenye hasira za kufiwa na ndugu zao na kukosa huduma mahospitalini kwa ajili ya huyu mnafik pamoja na wenzake.

Hopeful hasira ulizozionesha kwenye hii post dhidi ya Dr Ulimboka haikuweki wewe na serikali mahala salama katika sakata hili.
 
hili si la kuatuamisha kirahisi hivyo juu ya wahusika wa tukio hili. pande zote mbili zinaweza kuhusika kwani suala la mgogoro wa madaktari limekuwa na maslahi ya kisiasa
 
Mhh! hapa wamefika mbali sasa... picha ukurasa wa facebook clouds FM



 

Have no fear for atomic energy,

'Cause none of them can stop the time.

 
mkuu nimekusoma, lakini piga ua garagaza lazma serikali iwajibike kwa hili.
...Kwa serikali hii dhaifu na lege lege unategemea uwajibikaji wa aina gani? Nadhani hapa suala liko kwetu umma wa Tanzania kuiwajibisha serikali...Watanzania bado hatujawa na ujasiri wa Wa-Libya, Wa-Misri nk.....Pole Ully!!
 

Ofcourse System at Work, and you did it! wait your turn!
 

Mkuu sawabho, hata hii picha bado inadanganya? au mahojiano kwa njia ya makonde?
Kweli Tanzania kama uijuavyo!
 
Last edited by a moderator:
Ina maana serikali haijatoa tamko kuhusu Ulimboka?
CDM watoe tamko...
Mapema kabla ya saa nane pliz
 
zombe aliua mabwepande m kwere nae anataka kuulia huko huko sijui ataunda tume tena?
 
Waliomteka ni watu wenye hasira za kufiwa na ndugu zao na kukosa huduma mahospitalini kwa ajili ya huyu mnafik pamoja na wenzake.
ah kumbe wewe unawafahamu naona itakuwa vizuri utusaidia kwa uchunguzi
 

Naona unataka kuleta ubishi usiokuwa na kichwa wala miguu...Wewe amini unavyotaka kuamini wewe, na Watanzania wenye akili timamu ya nini kinachoendelea nchini wataamini vile wanavyotaka kuamini wao.
Watanzania wenye akili timamu watasubiri ushahidi halafu ndio walamu sio kutoa hukumu utasema ulikuwepo kwenye tukio.
 
Hizi ni mbinu za Madikteta wote duniani..sasa watanzania hata wale waliokuwa wahihisi tuna demokrasia wamejua kuwa sisi ni sawa na nchi za kidikiteta. Tunaongozwa na majambazi na sasa tujue kuwa tunahitaji ukombozi
 
Sina hakika na ukweli wa habari hii!
Kwa uhusiano alionao na serikali hii, saa sita ya usiku anaenda kufanya 'reconciliation' na 'mtu' wa serikali? Tena peke yake bila viongozi wenzie? Atakuwa wa ajabu basi!

Huyu Bw. tangu mwanzo nili dought uwezo wake na leo hisia zangu zimethibitika. Kwa mtu yeyote makini na mpiganaji wa kweli hawezi kufanya kosa kubwa kama hilo la kutoka usiku peke yake kwenda kuonana na mtu asiyemjua. He deserves to surfer his stupidity.
 
haya mazingira yanatupeleka wapi ??? wahusika je wa awali wameshakamatwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…