Huyu Doctor ameonyesha udhaifu mkubwa....kwa nini aliitikia wito wa hawo jamaaa ? alitegemea nini kwenda kufanya reconciliation saa 6 usiku ? au walimuahidi kitu?
Naomba tuwekee ushahidi hapa kuwa Serikali inahusika; hili ni jukwaa makini
Kama madaktari wapo serious na mgomo basi wasimtibie huyu Dr Ulimboka
Hakika hili nalo linaonyesha jinsi serikali yetu imeishiwa kifikra mpaka suluhisho linakuwa hilo.kama kweli ni mkono wa serikali basi pia hiyo damu itawafuata ni muda muafaka wa kusema bye magamba.Ni heri kufa kuliko kendelea kuishi katika hofu na udhalimu wa jinsi hii.
Napata shida kidogo kwamba nikupe pole wewe au wale wagonjwa ambao kwa lengo lenu la kugoma na kuiwajibisha serikali wengi wanateseka,wengine wanakufa,mama zetu wanajifungua kwa uchungu bila ya kua na msaada wowote,haya ni mateso makubwa,
Hemu tujiulize vipi kama ulimboka na yeye kama akitelekezwa aachwe bila ya huduma yoyote?
ni vyema madaktari watafute njia tofauti yakuibana serikali kwani watanzania wasio na hatia wanakufa kwa kosa la serikali
Kama ni kweli hii habari basi lazima nitamke wazi kwamba serikali haiwezi kufanya jambo la kipuuzi kama hilo wakati madhara ya upuuzi kama huo yapo wazi. Kwa vyovyote vile, hiyo inaweza kuwa ni ama hujuma dhidi ya serikali, au hujuma dhidi ya kiongozi wa nchi au mchezo wa kitoto uliofanywa na madaktari wenyewe, au wabaya wa Ulimboka mwenyewe.
MCHEZO WA KITOTO WA MADAKTARI:
Kikundi kidogo cha madaktari wenyewe wanaweza ku-engineer mpango wa kipuuzi kama huo ili kutafuta huruma ya wananchi. Michezo ya kitoto kama hii inafanywa sana na huwa inaaminiwa na wale wasio na uwezo wa kuchanganua mambo.
HUJUMA DHIDI YA SERIKALI:
Watu wenye maslahi tofauti dhidi ya serikali wanaweza kufanya upuuzi kama huo ili kujenga picha kwamba serikali iliyopo ni ya kidhalimu inayoweza kufanya lolote dhidi ya raia wake wanaotetea maslahi yao. Watu wanaoweza kufanya haya ni wale wenye maslahi ya kisiasa...ni Political Sabotage.
HUJUMA DHIDI YA RAIS:
Ulingo wa siasa ni ulingo uliojaa uadui baina ya mtu na mtu. Katika hilo, mtu au kikundi cha watu wanaweza kufanya upuuzi kama huo ili kumuumbua kiongozi mkuu wa nchi.
MAADUI BINAFSI WA Dr. ULIMBOKA MWENYEWE: Hawa wanaweza kutumia opportunity ya Dr. Ulimboka kuwa ndani ya mgogoro ili ionekane kwamba waliomdhuru ni watu wa serikalini.
MOJA kati ya hizo inaweza kuwa ndio sababu sahihi lakini there's no way kwamba serikali inaweza kufanya utoto kama huo. Ki
kunamashetni hu jf.huyu nae ni pepo.napata shida kidogo kwamba nikupe pole wewe au wale wagonjwa ambao kwa lengo lenu la kugoma na kuiwajibisha serikali wengi wanateseka,wengine wanakufa,mama zetu wanajifungua kwa uchungu bila ya kua na msaada wowote,haya ni mateso makubwa,
hemu tujiulize vipi kama ulimboka na yeye kama akitelekezwa aachwe bila ya huduma yoyote?
Ni vyema madaktari watafute njia tofauti yakuibana serikali kwani watanzania wasio na hatia wanakufa kwa kosa la serikali
hata mimi na doubt uwezo wako