Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

kweli inawezekana kabisaaa
kwasababu yule mama ni tatizo sana na bado ana hasira kweli..... nilishamsikiaga mme wake akisema kusikitishwa na Dr ulimboka kusimamia kumtoa mkewake yupo pale banks union pemben na BOT......
 
Yule mama ana mtandao wa ajabu sana...inawezekana kabisa!
Lakini kama ni yeye ataumbuka soon!

Ataumbuka kwa mtindo wa serikali hii ya kulindana? Hata kama ni yeye nijuavyo serikali yetu itampongeza kisirisiri, amini usiamini.
 
kweli inawezekana kabisaaa
kwasababu yule mama ni tatizo sana na bado ana hasira kweli..... nilishamsikiaga mme wake akisema kusikitishwa na Dr ulimboka kusimamia kumtoa mkewake yupo pale banks union pemben na BOT......

pikeni uongo mwingine...
 
kweli inawezekana kabisaaa
kwasababu yule mama ni tatizo sana na bado ana hasira kweli..... nilishamsikiaga mme wake akisema kusikitishwa na Dr ulimboka kusimamia kumtoa mkewake yupo pale banks union pemben na BOT......
unaweza kutusaida kupata ushahidi huu, au unaongea tu kama uko chooni?
 
Siyo kwamba namtetea huyu mama ila jamani tuwe waangalifu kuwa husisha watu na maswala mazito kama haya bila ushahidi. Kumbukeni wahenga walisema "Umdhaniae siyo kumbe ndiye na umdhaniae ndiye kumbe siye". Tuweni wavumilivu na tusiwe na haraka ya kuanza kuhusisha watu pasipo ushaidi.
 
Tena huyu si kasimamishwa kazi mbona namuona anatembelea STK huku mjini au inakuwaje huko serikalini ?
 
Acha kupotosha watu, unatumiwa nini, mnataka kumtoa kafara Blandina Nyoni, hatukubali, mlishasema liwalo na liwe.
 
Only a fool can accept that
 
usipende kuwakilisha mawazo yako kupitia mlango wa nyuma why kusema tetesi we don't need it kama unauhakika weka ili wana jf wachangie
 
Kwenye red ndio ukweli. Mtu anayeokoa maisha ya mwanadamu unamlinganisha na nani?

Kwenye blue: Ndio, wapo wengi,na serikali ina uwezo wa kuwalipa vizuri kama itazuia EPA, Meremeta, Rada na wengine.
 
Kusema Blandina kahusika ni kupotosha na kuna chuki binafsi ndani yake. Msimuonee mama huyu kwa kumzulia mambo ambayo hayamhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…