Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mama ana mtandao wa ajabu sana...inawezekana kabisa!
Lakini kama ni yeye ataumbuka soon!
kweli inawezekana kabisaaa
kwasababu yule mama ni tatizo sana na bado ana hasira kweli..... nilishamsikiaga mme wake akisema kusikitishwa na Dr ulimboka kusimamia kumtoa mkewake yupo pale banks union pemben na BOT......
unaweza kutusaida kupata ushahidi huu, au unaongea tu kama uko chooni?kweli inawezekana kabisaaa
kwasababu yule mama ni tatizo sana na bado ana hasira kweli..... nilishamsikiaga mme wake akisema kusikitishwa na Dr ulimboka kusimamia kumtoa mkewake yupo pale banks union pemben na BOT......
ni serikali.
pikeni na leteni habari za uongo ila ukweli mzima tunaujua.....
Yule mama ana mtandao wa ajabu sana...inawezekana kabisa!
Lakini kama ni yeye ataumbuka soon!
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
Hivi mpaka sasa kuna watu hawajajua nani kafanya huu unyama???
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
hivi unajua huyu Abeid anayetajwa alikuwepo siku ile Pinda anaongea na madaktari tena alikuwa katika msafara wa Pinda nini maana yake hapo?
Tatizo hujanielewa,NCHI HII SIYO MADAKTARI TU,KUNA WATUMISHI KIBAO NA WOTE NI MUHIMU KILA MTU KWA NAFASI YAKE.NA KILA MTUMISHI AKIGOMA ANA ATHARI ZAKE KWA WANANCHI.Tatizo hii kauli ya kusema HAKUNA ALIYE MUHIMU KAMA DAKTARI NI ya kijinga.Pia kumbuka mafisadi kufocha fedha nje ya nchi hakuwezi kuhalalisha madai ya milioni 3na zaidi kwa daktari.Wanataka kugeuza fani ya udaktari kama sehemu ya kupatia utajiri?MIMI PIA NIKO NAO IDARA MOJA,nahitaji maslahi mazuri mazingira bora ya kazi lakini tudai huku tukiangalia na idara zingine na pia TUTUMIE APPROACH YA KUIBANA SERIKALI AMBAYO HAITAKUWA NA MADHALA KWA WANANCHI KAMA ILIVYO SASA.Hapo hatuibani serikali badala yake tunaumiza wananchi.WANANCHI WANAHUSIKA VIPI NA MADAI YETU MPAKA TUWAADHIBU KWA KUWANYIMA HUDUMA NA PIA KUWASABABISHIA VIFO??
Mtetezi wetu wanamkamata patachimbika