Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Sijawahi kukasirika kama leo yaani serikali ijue tu inatangaza vita na hichi kitendo chao na wajaribu hata kutafuta watu wa kuwasaidia kufikiri kama akili zao zimejam, hii sio jinsi ya kutatua hili tatizo,watu wanatumia nini kufikiri?yeyote aliyewashauri kufanya hivyo wamnyonge mchana kweupe.

FREE DR. ULIMBOKA NOW
 
Wenye nji wako kazini.Atatoka tu,lakini wasimwakyembe please.
 
Mkuu, afadhali tumefahamu alipo, maana watanzania tulianza kuwa na wasiwasi juu ya mtetezi wa ma-DR,
tunawaomba wanaharakati please fuatilieni hilo na kulaani, ukatili dhidi ya jeshi la police na kama wamemdhuru, Solidarity forever
 
kwani akikamatwa Dr ulimboka ndio mgomo utakwisha? nadhani madaktari ni watu wasomi wenye akili zao,hawawezi kushikiliwa akili na Dr ulimboka,swala hili si la ulimboka ni swala la madaktari na matatizo yao,serikali ni vyema ikatatua tatizo kwa kuwalipa ama kukubaliana na madaktari hao kuliko kutumia mbinu ya kamata kamata.

walimu nao wanakuja,nani atakamatwa kwa ajili yao?
 
Hatua hii ya wasomi kudai maslahi haifai kuwa na ufumbuzi wa UBABE, bora kama wangekuwa wakulima ambao wanaweza hata kudanganywa. Suala ni moja tu; KILA MMOJA AFAIDI KEKI ya Nchi yake
 
Suluhisho siyo kumkatata Dr. Ulimboka, bali ni kupunguza matumizi ya anasa ya serikali na kutumia pesa hizo kuwalipa madaktari. Tunamuombea mungu amsaidie atoke salama ili aendeleze mapambano.
 
Hatua hii ya wasomi kudai maslahi haifai kuwa na ufumbuzi wa UBABE, bora kama wangekuwa wakulima ambao wanaweza hata kudanganywa. Suala ni moja tu; KILA MMOJA AFAIDI KEKI ya Nchi yake

Na kila mmoja afiwe na ndugu yake madaktari wakigoma..... nayo ni keki ya taifa.
 
Serikali ya CCM sasa imefikia mwisho wa kufikiri, naona hata 2012 imekuwa mbali
 
Hatua hii ya wasomi kudai maslahi haifai kuwa na ufumbuzi wa UBABE, bora kama wangekuwa wakulima ambao wanaweza hata kudanganywa. Suala ni moja tu; KILA MMOJA AFAIDI KEKI ya Nchi yake
watawakamata wangapi?????tulishachoka,lolote naliwe bana.madaktari gomeni tena gomeni sana.
 
Jambo nililo na uhakika nalo ni kwamba: Kitendo hiki kinaongeza hasira za madaktari, na hata wale waliokuwa wakifanya mgomo baridi, watafanya mgomo halisi. Hii ni matokeo ya kuwa na uongozi usio na Busara hata ya kawaida.
 
aachiwe huru,yeye siyo tatizo,tatizo ni matatizo ya mdaktari kutokufanyiwa kazi,huku mabilioni ya pesa yakipelekwa uswis
 
Wenye silaha ni maaskari na usalama wa ccm,Dr Ulimboka hana biashara yoyote anayofanya imfanye atekwe,hana pesa hana kitu ni maskini tuu,sasa swali kuu ni nani aliyemteka?ni gorvement agent na ni specific na issue ya madokta full stop.
and then what next.....the doktas are still ndani ya mgomo baridi

porojo kutoka udaku street utafikiri ulikuwa na ulimboka wakati anatekwa
 
virungu vya polisi haviwezi kutoa suluhu ktk mgogoro huu.
Free doctor Ulimboka.
 
Back
Top Bottom