WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,234
Too bad! Get well soon Dr Ulimboka, the country is heading to hell every passing second!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda kuhojiwa polisi ndio mleta mada anasema k"atekwa"?
Adhuriwe nini huyo wakati tayari kisha dhurika? au hamjui gonjwa linalomsumbua?
Tuweke shinikizo aachiliwe mara moja na bila madhara yoyote; utawala wetu umewekwa kwenye kona na sasa unatafuta namna ya kutokea...
hivi hapa Kariakoo wapi wanauza bastola?
Ni kweli katemwana askari mbaya zaidi kapigwa vibaya na kapewa vitiaho
nini kinakulazimisha tuamini hii post hapo juu?soma taarifa post #111
Ni kweli Dr. Olimboka katekwa na askari polisi na kapigwa na kwa sasa yupo kituo cha polisi cha uchochoroni tunakifuatilia kujua kama ndipo walipo mficha. Sasa hii imetuamsha hasira na mgomo kamili ndo utafuata.
Siyo kuondoka tu waamalizia maisha yao jela! wengi wanamakosa kibao yasiyosameheka!! Wasipojirekebisha, tutawajengea jela lao!!Mungu wangu, nimeumia sana! Jamani ccm wataondoka kwa aibu sana,
Kama kavunja sheria za nchi au kakaidi amri za mahakama hawachiwi mpaka sheria za kumuachia zikamilike, hata kiongozi wa upinzani bungeni alipokaidi amri ya mahakama alikamatwa kwa nguvu akapelekwa mahakamani.He that wrestles with us strengthens our nerves, and sharpens our skill. Our antagonist is our helper.To silence criticism is to silence freedom - FREE DR.ULIMBOKA NOW UNCONDITION
wewe ni kati ya wale dhaifu, ur end is just around the cornerMadr. Msituyumbishe fanyeni kazi...poor drs