Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Too bad! Get well soon Dr Ulimboka, the country is heading to hell every passing second!!
 
it happened to steve Biko, Solomon Mahlangu, Nelson Mandela, Samora Machel, na kila mtetea haki, Dr. Ulimboka is now on the same route! kila lenye mwanzo lina mwisho wake, siku zote mnyonge hushinda, tupo pamoja Dr.Ulimboka - Tutashinda, it is a matter of time...SOLIDARITY FOREVER
 
He that wrestles with us strengthens our nerves, and sharpens our skill. Our antagonist is our helper.To silence criticism is to silence freedom - FREE DR.ULIMBOKA NOW UNCONDITION
 
Serikali inapochoka kushughulikia matatizo ya wananchi wake na ikatukuza ufisadi, humuoana kila mwananchi/raia mpenda haki na ukweli kuwa ni adui mkubwa, hasa anapojitokeza kudai haki na kueleza ukweli. Madai ya madaktari ni mapana na yanagusa ustawi wa jamii. kwa mfano wanaposema vitendea kazi havipo, je ni kosa? mbona wao matumbo yakiunguruma tu, tunawasikia INdia. Hoja kwamba serikali haina pesa ni uongo wa mchana kweupe. Tujiulize serikali isiyo na pesa inakuaje na mabilioni ya pesa benki za nje kama uswisi n.k, serikali isiyo na pesa inakuaje ripoti ya CAG ionyeshe mabilioni ya pesa yakiwa yamepotea/yameliwa na taasisi moja tu/mtu mmoja,serikali isiyo na pesa inakuaje viongozi wake kila kukicha kiguru na njia kwenda ng`ambo kwa kisingizio cha kuona utendaji kazi wa balozi zetu,ooh mara kutafuta wafadhili wa bajeti, mara kutafuta wawekezaji, mara marafiki(sijui wa kike au kiume), mara kutangaza utalii. hiyo ni serikali ambayo viongozi wake wamechoka kufikiri, na viongozi wanaofikiri wapo uraiani na hao ndio wapambanaji wakweli. sas kazi ni moja tu, nayo ni kung`oa magugu yote ya CCM
 
Tuweke shinikizo aachiliwe mara moja na bila madhara yoyote; utawala wetu umewekwa kwenye kona na sasa unatafuta namna ya kutokea...

Tanzania ni nchi inayofata sheria, kama wanasheria wanafatilia na anajulikana alipo, hilo shinikizo unalotaka kuweka na wewe uwepo basi, usichombeze watu wakati wewe unamtumikia uncle sam USA. Wacha ufataani.

Wacha sheria zifate mkondo.
 
Naunga Mkono Hoja "Tunataka Dr Ulimboka awe huru"

Na kwa nini akamatwe usiku wa manane; mnaohusika na haki za binaadam hebu tujuzeni, hii ni sawa kweli?
 
Ni kweli Dr. Olimboka katekwa na askari polisi na kapigwa na kwa sasa yupo kituo cha polisi cha uchochoroni tunakifuatilia kujua kama ndipo walipo mficha. Sasa hii imetuamsha hasira na mgomo kamili ndo utafuata.

Source?
 
Mkuu itafaa ukituambia kapatikanaje,kapatikana wapi,mmeanzaje kupata taarifa zake,alikuwa ndani au alikuwa ametupwa vichakani,njiani au wapi mmemkuta?na je anapelekwa hospitali gani?
 
He that wrestles with us strengthens our nerves, and sharpens our skill. Our antagonist is our helper.To silence criticism is to silence freedom - FREE DR.ULIMBOKA NOW UNCONDITION
Kama kavunja sheria za nchi au kakaidi amri za mahakama hawachiwi mpaka sheria za kumuachia zikamilike, hata kiongozi wa upinzani bungeni alipokaidi amri ya mahakama alikamatwa kwa nguvu akapelekwa mahakamani.

Msituvunjie sheria za nchi halafu mfunguwe midomo yenu.
 
Kuna habari nimezipatra toka jukwaa la wanabidii kuwa ndugu Ulimboka ambaye ndiye kiongozi wa mgomo wa madaktari ametekwa usiku na kupelekwa kusikojulikana. Kama kunamwenye detail juu ya hili atujuze.
 
Huu ndio udhaifu wa JK.
Tunasubiri kuona hatua kali zinachukuliwa dhidi ya uharamia huu
 
Back
Top Bottom